Ibraah aomba msaada wa Bilioni 1 kwa Watanzania ili kulipa Harmonize na kujiondoa Konde Gang

Ibraah aomba msaada wa Bilioni 1 kwa Watanzania ili kulipa Harmonize na kujiondoa Konde Gang

Tuchange tu itapatikana mkuu, huyu kijana ana nidhamu sana, ni kijana mwenye heshima sana na nidhamu kubwa sijapata kuona
Wafuasi wake wakimchangia anafikisha..
IMG_1899.jpeg

Watu 2.5m kila mtu akitoa buku inafika 2.5b
 
Uchawi sio mpaka kuroga, huo nao uchawi, bilioni ada ya kuachana na lebo ambayo aliingia kwa hiyari yake mwenyewe !!!
 
Yeye aandike Albam nzima amsifie tu Mama na Chawa wake, Kesho asubuh anaamka na hiyo Pesa.
Kingine wanaigiza sana maisha hawa madogo na mimi nakumbuka walisema Konde Gang ni Jeshi la mtu mbili so akaze buti mpaka kamba zikatike.
Mwisho: Anahisi mziki wake una faida gani kwa watanzania wenye akili timamu mpaka astahiri huruma yetu?
 
Wasanii wa kibongo omba omba sana,sasa unataka raia wa kuchangie kwa mpango upi
Aende huko lumumba akawaombe

Ova
 
Kupitia Ukurasa wa Instagram msanii wa Bongofleva ambaye mwaka 2020 alitambulishwa rasmi kuwa Msanii wa Label ya Muziki ya Konde Gang, Ibraah ameandika ujumbe wa kuomba msaada kwa watanzania kiasi cha B 01 ili aachane na Kondegang

View attachment 3323930
"Sio mbaya kukubali kuwa mimi ni kijana niliyetokea kwenye familia ya kimasikini na hili limenikuta sina budi kulileta kwenu maana pia ninachoamini nisingefika hapa bila nyinyi mashabiki zangu na wadau mbalimbali katika sanaa na nje ya tasnia.

Naomxa Masada kwa yoyote anjayeona anachocha kunisaidia".

View attachment 3323931
Ibraah tangu alipotambulishwa katika Label hiyo amefanikiwa kuachia Heatsongs kadhaa kama Dharau, Nitachelewa, Sawa, Wandoto, Jipinde, Rara na amefanya vizuri pia kwenye Kolabo ambazo ameshirkishwa kama Mdomo ya Harmonize, Mateso ya Mabantu na Nyimbo za single kama Do let me go ya Kinata Mc pamoja na Wivu ya JayCombat
View attachment 3323901
View attachment 3323929
Hili ni zigo lake, watz hawahusiki
 
Back
Top Bottom