Ibraah aomba msaada wa Bilioni 1 kwa Watanzania ili kulipa Harmonize na kujiondoa Konde Gang

Siku zote nasema wasanii wa tz ni was tu
Wao kutwa kutaka kuchangikiwa tu f them,waende lumumba huko wakampe hyo hela

Ova.
 
Wanachama wa Chama Cha Majambazi msaidie mtu wenu!
 
Yaani akibaki au akitoka sisi tunapata nini?

Sijaelewa yaani.

Vinatuhusu nini sisi? Alivyoingia kwenye hiyo lebel alituuliza?

Ibrah ndio nani kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…