Ibraah aomba msaada wa Bilioni 1 kwa Watanzania ili kulipa Harmonize na kujiondoa Konde Gang

Tuchange tu itapatikana mkuu, huyu kijana ana nidhamu sana, ni kijana mwenye heshima sana na nidhamu kubwa sijapata kuona
Wafuasi wake wakimchangia anafikisha..
Watu 2.5m kila mtu akitoa buku inafika 2.5b
 
Uchawi sio mpaka kuroga, huo nao uchawi, bilioni ada ya kuachana na lebo ambayo aliingia kwa hiyari yake mwenyewe !!!
 
Yeye aandike Albam nzima amsifie tu Mama na Chawa wake, Kesho asubuh anaamka na hiyo Pesa.
Kingine wanaigiza sana maisha hawa madogo na mimi nakumbuka walisema Konde Gang ni Jeshi la mtu mbili so akaze buti mpaka kamba zikatike.
Mwisho: Anahisi mziki wake una faida gani kwa watanzania wenye akili timamu mpaka astahiri huruma yetu?
 
Wasanii wa kibongo omba omba sana,sasa unataka raia wa kuchangie kwa mpango upi
Aende huko lumumba akawaombe

Ova
 
Hili ni zigo lake, watz hawahusiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…