Kwan tatizo nn??Huyu kamtangaza tu kwa watu Leo alikuwa mke wake kitambo...
Akili kikuyu wewe!WENZAKE WANAFUNGA MABAO ...YEYE ANAFUNGA NDOA! HAWA WACHEZAJI WABONGO HAWAJIELEWI KABISA. 🙂
mbona povu mkuu...Akili kikuyu wewe!
Omba Omba FC, hivi punde mutaondolewa jijini Dar es salaam
Sijaelewa
Soma ulichoandika post yako niliyokujibu..!mbona povu mkuu...
Tarehe 7/05/2017 alifiwa na mke wake kipenzi, tarehe 24/05/2017 anaoa mke mwingine kipenzi !! Mbona hata bado hajatafakari uchungu wa kufiwa.Tarehe 7/05/2017 alifiwa na mke wake kipenzi
Taazia: Ibrahim Ajib afiwa na mkewe
Leo amefunga ndoa ,hatimaye amepata Mke mpya wa kumliwaza