chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,079
- 3,550
Achukue tu kama timu ameichukua itakuwa jengo?MO anataka Hati za jengo la club
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achukue tu kama timu ameichukua itakuwa jengo?MO anataka Hati za jengo la club
Nenda instagram huko naona wengi ndiyo wakoHivi Hawa wachezaji wetu Wana YouTube account? ?Kuna agent Mmorocco aliniuliza sijui nianzie wapi..waarabu wamedata na Msuva..Kuna mtu anajuwa??
Tumeongelea zaidi maslahi badala ya umri!
Kwanini kina kagere hawataki kwenda nje kula pesa na badala yake wapo hapa??
Jibu ni kuwa wanajua umri unaenda hawawezi kucheza ligi za ushindani tena!
Ndo maana wapo hapa.. na kizuri zaidi wanalipwa vizuri nn shida?? Waende wapi ikiwa kagere analipwa mil 12 na nusu ambayo yeye anaona inamtosha??
Ajibu kama ana akili timamu, bora akaendelea tu kuvumilia maisha ndani ya Yanga. Akiona maisha magumu, aamue tu kutimkia Azam ila siyo Simba. Akirudi Simba ataishia tu kwenye ile kazi yake iliyomkimbiza pale awali ya kuchoma mahindi hadi kuamua kukimbilia Yanga.
Atamuweka benchi nani pale simba! Huyo Tuyisenge aliyesajiliwa au Medd Kagere? ajifunze kwa Adam Salamba na wenzake kwa namna wanavyosugua benchi. Labda kama anataka tu maisha mazuri huko simba.
Huyo jamaa huwa ana mtindio wa ubongo so usihangaike nae kumjibuHilo ilibidi ulianzishie uzi wake
Hapa tunajadili jinsi gani wachezaji wetu wanavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia soka lao na sio hizo ishu unazoingiza !
kagere ni mbongo?? yakina kagere yanatuhusu nini sisi?? unataka kusema banda anacheza wapi kama sio south?? kwanza banda anacholipwa huwezi fananisha na kagere!Kagere hapa tayari ni nje kama hujui yeye si mtanzania.na nje si nje ya nchi yako. Samatta alienda kucheza nje Congo akashiriki mashindan o makubwa ndo akaonekana na genk.sasa wewe mdanganye ajib abakie yanga.banda amechezea team gan sasa yupo nje?
kagere ni mbongo?? yakina kagere yanatuhusu nini sisi?? unataka kusema banda anacheza wapi kama sio south?? kwanza banda anacholipwa huwezi fananisha na kagere!
Weka hizo data mzee.. Kama ni za ukweli basi me ntakuwa muongo !..na Kama zako ni za uongo basi wewe ndo utakuwa muongo!Acha uongo dogo... Banda analipwa tsh ngap tukuwekee hapa data? Usidhani wote humu ni form D kama wewe
Kwanza ulishatoka nje ya Mada kumuingiza kagere wakati tunaongelea wachezaji wetu wa kibongo! Au kagere siku hizi ni mbongo??Acha uongo dogo... Banda analipwa tsh ngap tukuwekee hapa data? Usidhani wote humu ni form D kama wewe
Ulikuwa sahihi sana, kaacha dili ya TP Mazembe kirahisi.Kama ninavyosema ajibu anauchukulia mpira kimasihara sana na ndo maana mpaka sasa yupo yanga jambo baya zaidi hajali kuhusu maslahi yake yeye anauchukulia mpira kama starehe!
me huwa sibahatishi mkuu naomba mods wafufue uziUlikuwa sahihi sana, kaacha dili ya TP Mazembe kirahisi.
mkuu me wakat naandika huu uzi nilijua yatatokea tuUle msemo wa "AKILII NI NYWELE" maana yake ndio hiyo, ukiangalia mtindo wa nywele wa AJIBU unaelewa nini kinaendelea kichwani mwake
*Wacha nibaki jalalani*
Yule kadanganywa na manara ndie rafiki yake mkuumkuu me wakat naandika huu uzi nilijua yatatokea tu