Ibrahim ajibu na dunia ya peke yake!

Ibrahim ajibu na dunia ya peke yake!

Hivi Hawa wachezaji wetu Wana YouTube account? ?Kuna agent Mmorocco aliniuliza sijui nianzie wapi..waarabu wamedata na Msuva..Kuna mtu anajuwa??
Nenda instagram huko naona wengi ndiyo wako
 
Kagere hapa tayari ni nje kama hujui yeye si mtanzania.na nje si nje ya nchi yako. Samatta alienda kucheza nje Congo akashiriki mashindan o makubwa ndo akaonekana na genk.sasa wewe mdanganye ajib abakie yanga.banda amechezea team gan sasa yupo nje?

Tumeongelea zaidi maslahi badala ya umri!
Kwanini kina kagere hawataki kwenda nje kula pesa na badala yake wapo hapa??
Jibu ni kuwa wanajua umri unaenda hawawezi kucheza ligi za ushindani tena!
Ndo maana wapo hapa.. na kizuri zaidi wanalipwa vizuri nn shida?? Waende wapi ikiwa kagere analipwa mil 12 na nusu ambayo yeye anaona inamtosha??
 
Kwa nini wewe usiende yanga ukavumilie njaa? Hebu nenda basi ndugu yangu. Avumilie miaka mingap wakat umri unaenda? Aende sehemu ambayo watamlipa pesa nzuri afanye maisha.ni ujinga kuvumilia njaa.

Ajibu kama ana akili timamu, bora akaendelea tu kuvumilia maisha ndani ya Yanga. Akiona maisha magumu, aamue tu kutimkia Azam ila siyo Simba. Akirudi Simba ataishia tu kwenye ile kazi yake iliyomkimbiza pale awali ya kuchoma mahindi hadi kuamua kukimbilia Yanga.

Atamuweka benchi nani pale simba! Huyo Tuyisenge aliyesajiliwa au Medd Kagere? ajifunze kwa Adam Salamba na wenzake kwa namna wanavyosugua benchi. Labda kama anataka tu maisha mazuri huko simba.
 
Hilo ilibidi ulianzishie uzi wake
Hapa tunajadili jinsi gani wachezaji wetu wanavyoweza kujikwamua kiuchumi kupitia soka lao na sio hizo ishu unazoingiza !
Huyo jamaa huwa ana mtindio wa ubongo so usihangaike nae kumjibu

-
 
Kagere hapa tayari ni nje kama hujui yeye si mtanzania.na nje si nje ya nchi yako. Samatta alienda kucheza nje Congo akashiriki mashindan o makubwa ndo akaonekana na genk.sasa wewe mdanganye ajib abakie yanga.banda amechezea team gan sasa yupo nje?
kagere ni mbongo?? yakina kagere yanatuhusu nini sisi?? unataka kusema banda anacheza wapi kama sio south?? kwanza banda anacholipwa huwezi fananisha na kagere!
 
Acha uongo dogo... Banda analipwa tsh ngap tukuwekee hapa data? Usidhani wote humu ni form D kama wewe

Weka hizo data mzee.. Kama ni za ukweli basi me ntakuwa muongo !..na Kama zako ni za uongo basi wewe ndo utakuwa muongo!
Halafu hiyo form four imekujaje hapa??

Leta hizo data.
 
Acha uongo dogo... Banda analipwa tsh ngap tukuwekee hapa data? Usidhani wote humu ni form D kama wewe
Kwanza ulishatoka nje ya Mada kumuingiza kagere wakati tunaongelea wachezaji wetu wa kibongo! Au kagere siku hizi ni mbongo??
Sasa Mimi na wewe nani form four d kama sio kujisema wewe??
 
Kama ninavyosema ajibu anauchukulia mpira kimasihara sana na ndo maana mpaka sasa yupo yanga jambo baya zaidi hajali kuhusu maslahi yake yeye anauchukulia mpira kama starehe!
Ulikuwa sahihi sana, kaacha dili ya TP Mazembe kirahisi.
 
Ule msemo wa "AKILII NI NYWELE" maana yake ndio hiyo, ukiangalia mtindo wa nywele wa AJIBU unaelewa nini kinaendelea kichwani mwake

*Wacha nibaki jalalani*
 
Ule msemo wa "AKILII NI NYWELE" maana yake ndio hiyo, ukiangalia mtindo wa nywele wa AJIBU unaelewa nini kinaendelea kichwani mwake
*Wacha nibaki jalalani*
mkuu me wakat naandika huu uzi nilijua yatatokea tu
 
Back
Top Bottom