Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

Ibrahim Bacca anyang'anywe tuzo ya mchezaji bora katika mechi ya leo dhidi ya Prisons

Ndugu mbumbumbu Ile tuzo ya mchezaji Bora wa mechi hai husiani na Gori la mechi.
Usi ishi kwa ku kariri
 
Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons.

Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa.

Najua mechi imeisha na goli haliwezi kukataliwa tena ila kitendo chake cha kushangilia na kuact kama amefunga goli halali kunamuondolea uhalali wa kupata tuzo ya mchezaji bora. Amekosa spirit ya fair play ambayo ni moja ya misingi ya football.
Mashabiki wa simba huwa hamuwezi kabisa kuishi bila ya;
1. ) Malalamiko
2.) Kutukana watu matusi
3.) Kung'oa viti uwanjani!!

Hivi shida ni nini hasa!!
 
Mashabiki wa simba huwa hamuwezi kabisa kuishi bila ya;
1. ) Malalamiko
2.) Kutukana watu matusi
3.) Kung'oa viti uwanjani!!

Hivi shida ni nini hasa!!
Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?
 
Marehemu Maradona alifunga goli la mkono na alibeba kombe la Dunia. Kama ni rahisi na Kwan kuwa mikono unayo nenda nawewe ukafunge goli la mkono
 
Marehemu Maradona alifunga goli la mkono na alibeba kombe la Dunia. Kama ni rahisi na Kwan kuwa mikono unayo nenda nawewe ukafunge goli la mkono
Ulivyoanza tu na "Marehemu Maradona" nikajua wewe ni hamnazo
 
Mashabiki wa simba huwa hamuwezi kabisa kuishi bila ya;
1. ) Malalamiko
2.) Kutukana watu matusi
3.) Kung'oa viti uwanjani!!

Hivi shida ni nini hasa!!
Hatupendi kulea ujinga. Hiyo ndiyo hulka yetu
 
Back
Top Bottom