Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua Sasa simuGoli lilionekana wazi la mkono bila hata picha ya marejeo sema waamuzi wetu ni mashabiki pia
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
🤣🤣🤣🤣Tafuta kazi kijana kuuonea wivu bacca hakutokuletea ugali mezani.
Tambwe alifungaga kwa kuuset mpira na mkono. Mbumbumbu wakapandwa na Maruhani wakang'oa viti.Haaaa,kumbe yamkono pia yameruhusiwa,
Cc Aden Rage.amefanya uhuni mkubwa sana, ni aibu kwa Timu mkubwa kama ya yanga.
Anapaswa atoke hadharani na aombe radhi kwa ufanganyifu alioufanya.
Yanga wamejidhalalisha, wamepata ushindi haramu.
Mashabiki wa simba huwa hamuwezi kabisa kuishi bila ya;Nitashangaa sana kama TFF hawatamnyang'anya tuzo ya mchezaji bora Ibrahim Bacca aliyoipata katika mchezo wa leo dhidi ya Prisons.
Bacca amepewa credit kwa kufunga goli la 4 ila marejeo ya video yanaonyesha alifunga goli hilo kwa mkono waziwazi kabisa.
Najua mechi imeisha na goli haliwezi kukataliwa tena ila kitendo chake cha kushangilia na kuact kama amefunga goli halali kunamuondolea uhalali wa kupata tuzo ya mchezaji bora. Amekosa spirit ya fair play ambayo ni moja ya misingi ya football.
Rage alivowaita mbumbumbu hukumwelewa?Mashabiki wa simba huwa hamuwezi kabisa kuishi bila ya;
1. ) Malalamiko
2.) Kutukana watu matusi
3.) Kung'oa viti uwanjani!!
Hivi shida ni nini hasa!!