Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania


Hpakuwa na mtu mwingine mwenye vigezo zaidi ya huyu? Au ndo vile tena mambo ya ud...i.
 
khaaaaaa.kateuliwa na nani??? hivi jamani??? mi sielewi ...nikisema ntaonekana mdini..Ibrahimu Mussa huyu ni dini ile ya rais au?
udini udini udini udini,hatutafika kabisaaaaaaa,aliyekuwepo awali alikuwa ni maria mmari hatutegemei watu kuhoji juu ya hili,ila wa sasa ni ibrahim mussa najuwa tutahoji kwanini,tunajimaliza wenyewe,natamani wewe bwana ufe na kizazi chako ili hii sumu ya udini ipoteeeeeeeee kabisaaaaaa ktk familia yakooooo

msemaaaaa ukweliiiii hapendwiiii daimaaaaaa:clap2:
 
tatizo ukiumwa na nyoka hata jani utalikimbia

hahahahahahahahahahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, hakyanan tutaonana wabayaaaaa.. Huko twendako sjui. Akinogewa akaingia kwa siasa tu, na akakanyaga pabaya, basi swala la uTanzania sio rangi au haki ya kuzaliwa mipakani na bado kubaki mTanzania tutasahau kabisa....
 
Namkubali kwa ajili yako maana najua huwezi kutudanganya hapa! Ole wako aje ki Rost tamu Aziz
 

Mkuu post/reply zako nyingi naona huwa zinakaa ki-udini udini na ubaguzi wa rangi ila huwa unaziandika kwa ujanja wa hali ya juu ili usionekane kama wewe ni mdini au mbaguzi wa rangi. Nimeona comment zako jinsi zinavyokuwa negative (hata zile ambazo ni positive huwa unaziandika kama positive lakini zikitoa taswira ya negative) kwa wakristo, na kinyume chake.

Kwa nini umemtaja mkapa hali mambo mengi ambayo wananchi wanalalamikia sasa yametokea kipindi cha awamu ya nne wakati mkapa amemaliza muhula wake mfano hili la Dowans. (Hapa simaanishi kipindi cha mkapa hapakuwa na maovu).

Unapozungumzia masuala ya rangi, wewe kuwa mwarabu kunakusaidi nini na mwingine kuwa mweusi kunakukera nini?

Kuhusu suala la mgawo wa umeme ni kwamba taifa limeingizwa katika matatizo hayo na hao waasia ambao unasema hawawezi kufanya madudu (may be rushwa siyo madudu). Kuhusu kuathirika wao hawayapati hayo madhara kwa sababu wana standby units zinazowazalishia umeme majumbani mwao huku wamatumbi wakitaabika mitaani.

Pamoja tushirikiane kujenga nchi na si kubaguana.
 
Hpakuwa na mtu mwingine mwenye vigezo zaidi ya huyu? Au ndo vile tena mambo ya ud...i.

Yaani nyie sijui tusemeje? Kwani ulidhani alinyanyuliwa tu kutoka mbinguni akawekwa utalii? Ushaambiwa alianza kazi since 1982 na nadhani walikuwa wawili au watatu waliokuwa katika kufikiriwa ndio yeye akafanikiwa but kama kawaida baadhi yenu umelenga katika udini. Nikuulize wewe kule TBC hapakuwa na wengine wa kuteuliwa zile nafasi? au na waislamu nao walenge katika ud....i
 
mm cmtaki hata kama ni mtumishi wa siku nyingi,...wanapeleka pesa kwao india hawa....
 
mm cmtaki hata kama ni mtumishi wa siku nyingi,...wanapeleka pesa kwao india hawa....

Mh kweli Tanzania bado sana tutafika namna hivi kweli!!! Ulijuaje kama jamaa muhindi???
 
Waarabu wote watakuja kukatiwa vitalu loliondo zingine zitazalishwa hadi tukomee
 

Huyu hana elimu na vigezo kuwashinda hao walioachwa. Nawafahamu wako wengi sana hapo tena wenye shahada za uzamivu siyo ya huyu ya uzamili ya kuipata uzeeni.

Kama unahitaji fairness duniani, na wewe nenda India omba uraia uzae watoto huko halafu uone wakikua kama wanaweza kupewa post yoyote serikalini au hata makampuni binafsi licha ya kuwa na vigezo. Sisi tu ndio tumerogwa.
 

Aanze kufa aliyeanzisha huu udini. Mnamfahamu huyo.
 

Inawezekana na mchapa kazi. Mimi naamini hivyo. Tatizo ni moja tu kwamba mtu anaweza kuwa na historia iliyotukuka, mwadirifu na mchapa kazi lakini akishaingia kwenye mfumo uliooza naye anaingia kuoza. Kama alizoea kufanya kazi kwa uhuru bila vikwazo wakato akiwa kwenye ngazi za chini asitarajie kuwa mambo yataendelea hivyo hivyo. Lazima sasa akae mkao wa kukabiliana na fedha za mafisadi.
 

Kuwa na PhD sio kigezo cha kutaka wewe uteuliwe ukurugenzi kama huna experience ya kutosha. Kama lijitu lina PhD ya misitu na kakaa ofisini mwaka mmoja unadhani ni bora zaidi ya yule mwenye Masters na amefanya kazi katika ofisini miaka 25?? Wake up ndugu.
 

Mkuu kama mtu ana PhD 5 za hisani yaani zile za kupewa kiheshima heshima hata kama hastahili anafaa kuwa raisi?
 

Gosbert,

Suala la uadilifu ni subjective kwani linatokana na vipengele vya kwako unavyovijudge mtu ni muadilifu. Nadhani apewe nafasi afanye kazi ndipo tumtuhumu kuwa muadilifu au la. Vilevile kuna watu wamefanya nae kazi wanasema mchapakazi na mtu muadilifu je wewe unazo tuhuma za kusema huyu bwana fisadi? Mwenye data atupe basi venginevyo itakuwa ni chuki binafsi tu na mie sikubaliani na upuuzi huo.
 
Mkuu kama mtu ana PhD 5 za hisani yaani zile za kupewa kiheshima heshima hata kama hastahili anafaa kuwa raisi?

Mkuu tumempa uongozi wa uwaziri mkuu Dr Salim Ahmed Salim na ana PhD za heshima na aliyempa ni nyerere sasa sembuse sasa tunampa JK urais???? Nadhani unauliza swali gumu mie kulijibu but ukweli unabaki pale pale kuwa na PhD kama jamaa alivyodai kuna wengine wanasifa zaidi yake hakumaanishi kuwa wao ni bora zaidi ya bwana Ibrahim A. Mussa cha muhimu ni elimu na experience ya kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…