Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
Mkuu huyu jamaa binafsi namkubali sana na ninamuheshimu kinoma! Ila ukikuta post yake au coment yake
yaani huwa nashindwa kumwelewa kabisa! anazungukaaaaa lakini mwisho wa coment huwa simuelewi kabisa.
Hicho ulichomwambia hata mie nilipanga oneday to tell him the same. Ahsante sana!. By the way namkubali sana
Shossi as a good great thinker
Contradiction! Unamkubali na humwelewi kabisa! Kazi kweli kweli hapa.