the mkerewe
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 232
- 14
pamoja na uccm wangu ila nimeogopa sana kuona hiyo picha ya huyo jamaa?Mkuu kama mtu ana PhD 5 za hisani yaani zile za kupewa kiheshima heshima hata kama hastahili anafaa kuwa raisi?
Gosbert,
Suala la uadilifu ni subjective kwani linatokana na vipengele vya kwako unavyovijudge mtu ni muadilifu. Nadhani apewe nafasi afanye kazi ndipo tumtuhumu kuwa muadilifu au la. Vilevile kuna watu wamefanya nae kazi wanasema mchapakazi na mtu muadilifu je wewe unazo tuhuma za kusema huyu bwana fisadi? Mwenye data atupe basi venginevyo itakuwa ni chuki binafsi tu na mie sikubaliani na upuuzi huo.
Mkuu post/reply zako nyingi naona huwa zinakaa ki-udini udini na ubaguzi wa rangi ila huwa unaziandika kwa ujanja wa hali ya juu ili usionekane kama wewe ni mdini au mbaguzi wa rangi. Nimeona comment zako jinsi zinavyokuwa negative (hata zile ambazo ni positive huwa unaziandika kama positive lakini zikitoa taswira ya negative) kwa wakristo, na kinyume chake.
Kwa nini umemtaja mkapa hali mambo mengi ambayo wananchi wanalalamikia sasa yametokea kipindi cha awamu ya nne wakati mkapa amemaliza muhula wake mfano hili la Dowans. (Hapa simaanishi kipindi cha mkapa hapakuwa na maovu).
Unapozungumzia masuala ya rangi, wewe kuwa mwarabu kunakusaidi nini na mwingine kuwa mweusi kunakukera nini?
Kuhusu suala la mgawo wa umeme ni kwamba taifa limeingizwa katika matatizo hayo na hao waasia ambao unasema hawawezi kufanya madudu (may be rushwa siyo madudu). Kuhusu kuathirika wao hawayapati hayo madhara kwa sababu wana standby units zinazowazalishia umeme majumbani mwao huku wamatumbi wakitaabika mitaani.
Pamoja tushirikiane kujenga nchi na si kubaguana.
Hpakuwa na mtu mwingine mwenye vigezo zaidi ya huyu? Au ndo vile tena mambo ya ud...i.
heri mimi sijasema!najua jk aliangalia kigezo kimoja tu.... Hayo mengine sio muhimu sana kwa sisi wakwere
Naomba nianze kwa kupingana tena kwa sauti kubwa na wale wote wanaohoji juu ya Uraia wa Musa. Binafsi namfahamu kwa kiwango cha kumtetea. Musa ni MZALENDO WA KWELI, mwenye UTANZANIA WA ROHONI na si wa kwenye NGOZI. Ni mtu asiyejikweza (extremely social). Nikiwa kama mdau katika wizara husika, kwa miaka kama mitatu mfululizo nahudhuria the Meeting of Executives wa MNRT. Ripoti za utendaji wa Musa zimekuwa hazina mawaha wala uswahili. Hata shauri zake kwenye mikutano hiyo mara zote zinakuwa na mtazamo wa Kizalendo na Kimaendeleo. Binafsi ningefarijika tupate watu wengi wa jinsi ya Musa wanakubali kuingia serikalini na kulitumikia Taifa kwa Uadilifu Mkubwa. Mungu amwongoze vema katika nafasi yake mpya.
Inataka kuaminishwa kuwa uteuzi wa Mhusika ktk nafasi hiyo umefanywa na Rais kitu ambacho si kweli. Taarifa inasema Katibu Mkuu wa maliasili ndiye aliyemteua kwa kuzingatia mamlaka aliyopewa kupitia Kifungu Na. 6(1) cha Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002. Labda kama kuna ushahidi mwingine, tufahamishwe.
Kwa mwendo huo sijui kama tutafika anyway katika katiba mpya watu wa dini ya JK wasiruhusiwe kuitumikia Serikali full stop.
Tuna safari ndefu, kwani dini ndio inatenda kazi?khaaaaaa.kateuliwa na nani??? hivi jamani??? mi sielewi ...nikisema ntaonekana mdini..Ibrahimu Mussa huyu ni dini ile ya rais au?
Mtanzania huyu?
hivi huyo katibu mkuu wa maliasili anaitwa nani vile!??inataka kuaminishwa kuwa uteuzi wa mhusika ktk nafasi hiyo umefanywa na rais kitu ambacho si kweli. Taarifa inasema katibu mkuu wa maliasili ndiye aliyemteua kwa kuzingatia mamlaka aliyopewa kupitia kifungu na. 6(1) cha sheria ya utumishi wa umma na. 8 ya mwaka 2002. Labda kama kuna ushahidi mwingine, tufahamishwe.
unajua haya mambo yameletwa na ccm duu! Yaani naomba yawe humuhumu yasitoke nje tunakokunywa bia na jamaa zangu!mimi ndio niko hoi kabisa kwa mwendo huu wa kila uteuzi unapofanywa watu mnakimbilia udini basi tumekwisha . Ina maana akiteuliwa muislamu basi ni maneno tu.ina maana waislamu hawana haki ya kuteuliwa katika hizo nafasi? Ibrahimu mussa ni mtendaji mzuri tu sisi wengine tunafanya nae kazi mpaka sasa na hana tatizo katika utendaji wake na wala sio haki kumfananisha na ra. Jamani wakati mwingine great thinkers shirikisheni bongo zenu acheni chuki za kijinga.ni merits tu hapo zimetumika katika kumchagua na wala sio dini.
Huyu hana elimu na vigezo kuwashinda hao walioachwa. Nawafahamu wako wengi sana hapo tena wenye shahada za uzamivu siyo ya huyu ya uzamili ya kuipata uzeeni.
Kama unahitaji fairness duniani, na wewe nenda India omba uraia uzae watoto huko halafu uone wakikua kama wanaweza kupewa post yoyote serikalini au hata makampuni binafsi licha ya kuwa na vigezo. Sisi tu ndio tumerogwa.
Dr. Ladislaus KombaKatibu mkuu wa mali asili ni nani jina lake?
Mimi ndio niko hoi kabisa kwa mwendo huu wa kila uteuzi unapofanywa watu mnakimbilia udini basi tumekwisha . Ina maana akiteuliwa muislamu basi ni maneno tu.Ina maana waislamu hawana haki ya kuteuliwa katika hizo nafasi? Ibrahimu Mussa ni mtendaji mzuri tu sisi wengine tunafanya nae kazi mpaka sasa na hana tatizo katika utendaji wake na wala sio haki kumfananisha na RA. Jamani wakati mwingine great thinkers shirikisheni bongo zenu acheni chuki za kijinga.Ni merits tu hapo zimetumika katika kumchagua na wala sio dini.
Aanze kufa aliyeanzisha huu udini. Mnamfahamu huyo.
Dr. Ladislaus Komba