Ibrahim Mussa Ndiye Mkurugenzi Mpya wa Utalii Tanzania


Contradiction! Unamkubali na humwelewi kabisa! Kazi kweli kweli hapa.
 
Hongera Bw. Mussa chapa kazi kwa faida ya nchi yako na watu wake wote

Achana na christian fundamentalist " we cannot change them"

Chapa kazi mkuu wetu wa utalii.
 
Contradiction! Unamkubali na humwelewi kabisa! Kazi kweli kweli hapa.
Mkuu namkubali kwenye baadhi ya post zake. Lakini kwenye post za kisiasa na zile tunazopinga udini
huwa nashindwa kumwelewa finishing yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…