Ibrahim Qubaisi kamanda Mkuu idara ya urushaji maroketi na makombora wa Hezbollah auawa jioni hii na ndege za IDF

Hawa watu walijiingiza kwenye ugomvi usio wa kwao. Ugomvi WA mpalestina wao wakauvagaa kisa dini wanaamini pamoja watafurahishwa Sana maana dunia ya magharibi inahakikisha middle east haipati amani ili patawalike kwa manufaa ya west. Mambo mengine ni muhimu kumtumia akili na sio maguvu
 

Attachments

  • 20240925_064205.jpg
    55.5 KB · Views: 3
Unapiganaje na mtu anawajua nje ndani hivi? Yaani kwenye jeshi lenu anajua kila mtu na majukumu yake na mbaya zaidi anajua pakuwapata. Hii sio nzuri.
Wajiongeze fasta. Kwa masaada; Waambie wanyoshe mikono juu haraka la sivyo Mwamba atawamaliza wote.
 
We bwege kweli hapo wanaenda ziara kule karbala Hijah wanaenda Makkah acheni uwongo.
 
Mpuuzi wewe!
Mamaangu ameolewa akiwa muhitimu wa chuo cha utumishi wa Umma magogoni Posta.
Akiwa na miaka 29.
Na alikua anajistiri na akaolewa.

Kama mmezoea ukaaji uchi ni nyie.
 
Huo moto kwenye video ndio Air base inawaka? Huo ndio moto wa shambulizi la Hazibollah kwa Israel?
dogo hio base imemalizwa vibaya sana na hio ni pembeni ya base israel usitegeme ataruhusu uonyeshe madhara anayo pata hata siku moja.
 
Mpuuzi wewe!
Mamaangu ameolewa akiwa muhitimu wa chuo cha utumishi wa Umma magogoni Posta.
Akiwa na miaka 29.
Na alikua anajistiri na akaolewa.

Kama mmezoea ukaaji uchi ni nyie.
Hawa watembea uchi noma sana, afu cha ajabu wanatukana hayo mavazi ya wanawake wakislamu, wakati mama yake Yesu ndio aliyavaa.
 
Hii ndio maana halisi ya propaganda .
Yaani huku kauliwa kamanda alafu upande mwingine mabomu 100 yamerushwa ila hupewi taarifa zake
Hivi ndio jinsi wanatumia vyombo vya habari kwa upande wao
Na kubadili mind set za watu ,,..
Bhc mtu mweusi kila akichek BBC anaona taifa teule halipigiki
 
Acha ushamba na utu uzima huu wajisifia kufanya sexy ?
Kwa hio wataka wakae uchi iki uwe unawataman na kuwachapa tuh
Dada yako na Mama yako na mkeo wakikaa uchi inatosha wacha Dada zetu na wake zetu tuishi nao kizamani
 
Hezbollah karudishwa nyuma miaka 20
Hii vita bado mbichi. Hao Hezibollah nao wako vizuri. Kisaikolojia wana advantage over Israelis kwa vile wao wanaamini ni faida kufa vitani. Na kijeshi wamejiandaa kwa vita ya muda mrefu. Wana silaha nzuri na ni wazoefu wa vita. Pia eneo la south Lebanon, kwao ni uwanja wa nyumbani, wanaujua zaidi kuliko waisrael. Pia, baadhi ya ya members wa Hezibollah ni wapalestina wa kuhamia, kwao ni muhimu sana kuwapiga waisrael.

Israel inaweza kushinda vita hii, lakini nayo itaumia.
 
Mkuu si kila mzungu/Mmarekani ana akili sawasawa. Wengine kama wewe tu.
Mimi na wewe nani ana akili? Wewe unatembea na mavi na umevaa suit na unasema binadamu aliye zaliwa kwenye zizi la ngo'mbe Mungu πŸ˜„ kapime akili zako kwanza afu uje ufananishe na zangu.
 
Mkuu si kila mzungu/Mmarekani ana akili sawasawa. Wengine kama wewe tu.
Ona ulivyo mpuuzi.
Unajua huyo yuko Marekani na anaongea kile anachokijua!??
Unajua raia wa Marekani ni kiasi gani wamekua wanalalamika ndugu zao wanajeshi kupelekwa vita zisizowahusu ili wakafe huko!??
 
Mimi na wewe nani ana akili? Wewe unatembea na mavi na umevaa suit na unasema binadamu aliye zaliwa kwenye zizi la ngo'mbe Mungu πŸ˜„ kapime akili zako kwanza afu uje ufananishe na zangu.
Huyu jamaa ni bonge la FALA.
Mtu anazungumza ukweli askari wa Marekani wanaenda kupigana vita zisizowahusu anamtoa akili aliyesema hivyo.
 
Ona ulivyo mpuuzi.
Unajua huyo yuko Marekani na anaongea kile anachokijua!??
Unajua raia wa Marekani ni kiasi gani wamekua wanalalamika ndugu zao wanajeshi kupelekwa vita zisizowahusu ili wakafe huko!??
Hawa wavaa msalaba wengine wako njia panda, sababu Paulo aliota kamuona Yesu kumbe kaliona Shetani. Wangekuwa na akili wasome bibilia zao anaye tundikwa kwenye msalaba ni nani wangepata akili. Wakisikia Israel wanachanganyikiwa sababu wamelambishwa pipi za Paulo kule kanisani eti ni taifa teule.
 
Huyu jamaa ni bonge la FALA.
Mtu anazungumza ukweli askari wa Marekani wanaenda kupigana vita zisizowahusu anamtoa akili aliyesema hivyo.
Fala la mwisho kabisa hawa ndio wale wanataka wakoseme kilimo cha kisasa na ufugaji Israel, afu wanapewa bunduki nenda kafie mbele huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…