View attachment 3409637
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.
Cc Nyani Ngabu
Yetu nani ataifuta wajameni?View attachment 3409637
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.
Cc Nyani Ngabu
Kuna namna democracy ni pure scamUtawala wa kijeshi wa Burkina Faso umeivunja tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni chombo cha ufujaji wa fedha.
Badala yake wizara ya mambo ya ndani itashughulikia uchaguzi katika siku zijazo, runinga ya serikali ya RTB iliripoti.
Tangu utawala huo ulipoingia mamlaka mnamo Septemba 2022, viongozi wake mapinduzi wameanzisha mageuzi makubwa, ikiwa ni pamoja na kuahirishwa kwa uchaguzi ambao ungesababisha kurejea kwa utawala wa kiraia.
Uchaguzi mkuu ilitarajiwa kufanyika mwaka jana, lakini serikali ya kijeshi iliongeza muda wa mpito kwa demokrasia hadi Julai 2029, na kumruhusu kiongozi Kapteni Ibrahim Traoré kusalia madarakani na kuwa huru kugombea uchaguzi ujao wa urais.
Shirika la habari la AFP linamnukuu Waziri wa Utawala wa Wilaya Emile Zerbo akisema kwamba tume ya uchaguzi "iligharimu" serikali takriban dola 870,000 kwa mwaka.
Kufuta tume hiyo "kutaimarisha udhibiti wetu wa mchakato wa uchaguzi na wakati huo huo kupunguza ushawishi wa kigeni", aliongeza.Utawala wa kijeshi wa Burkina Faso umevunjalia mbali tume ya uchaguzi nchini humo ukiitaja kuwa ni ufujaji wa fedha.
Badala yake wizara ya mambo ya ndani itashughulikia uchaguzi katika siku zijazo, runinga ya serikali ya RTB iliripoti.
Tangu utawala huo ulipoingia mamlaka mnamo Septemba 2022, viongozi wake mapinduzi wameanzisha mageuzi makubwa, ikiwa ni pamoja na kuahirishwa kwa uchaguzi ambao ungesababisha kurejea kwa utawala wa kiraia.
Uchaguzi mkuu ilitarajiwa kufanyika mwaka jana, lakini serikali ya kijeshi iliongeza muda wa mpito kwa demokrasia hadi Julai 2029, na kumruhusu kiongozi Kapteni Ibrahim Traoré kusalia madarakani na kuwa huru kugombea uchaguzi ujao wa urais.
Shirika la habari la AFP linamnukuu Waziri wa Utawala wa Wilaya Emile Zerbo akisema kwamba tume ya uchaguzi "iligharimu" seriklai takriban dola 870,000 kwa mwaka.
Kufuta tume hiyo "kutaimarisha udhibiti wetu wa mchakato wa uchaguzi na wakati huo huo kupunguza ushawishi wa kigeni", aliongeza.
Cc Nyani NgabuView attachment 3409637
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.
Cc Nyani Ngabu
UsiombeTanzania tutapiga hatua Sana tukitawaliwa kijeshi!!
Mi naomba!Usiombe
Una mume mjeda Nini?Tanzania tutapiga hatua Sana tukitawaliwa kijeshi!!
Kwa Nini?Una mume mjeda Nini?
Unajua maana ya standard?Binafsi bado niko upande wa Traore na Sahel Nations brothers hadi pale watakaponi prove wrong baadae. Ukizingatia nchi iko kwenye kipindi cha vuguvugu la mageuzi ya kisiasa, kiuchumi na kisera, si sahihi kufanya chaguzi na mkaishia kuwekewa pandikizi mkarudi nyuma tena.
Demokrasia ya ulaya sio ya AFRIKA. Huku kwetu wanasiasa wanaingia madarakani kutafuta kula na sio kuwaletea wananchi maendeleo. Hivyo ni rahisi sana mtu kushawishika na kuanza kusukuma ajenda za wakubwa badala ya mustakabali wa maisha ya raia wao.
Kinachotuponza Afrika ni kutokuwa na malengo ya kitaifa kiasi kwamba kiongozi haijulikani anapimwa ,afanikio kwa vigezo gani, matokeo yake wanasiasa wanaahidi t shirt kwa wapiga kura wao kama moja ya mafanikio ya ndani ya kipindi cha miaka 5.
Tujifunzeni kwa Rusia, China, North Korea, Iran, Saudi Arabia, kama kweli hiyo demokrasia ina maana kubwa kama tunavyoaminishwa sasa.
Apewe muda awanyooshe wazunguView attachment 3409637
Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely.
Madaraka yakianza kulevya.
Sababu alizotoa hazina mashiko.
Bado moyo wangu ni mzito kumkubali Ibrahim Traore kama ambavyo mitandao mingi inavyomshabikia kwa "mafanikio hewa.
Cc Nyani Ngabu
Ukizingatia hoja yangu ya kipindi cha vuguvugu ilicho nacho nchi ya Burkina, maendeleo yanayolenga watu na kukubalika kwake kwa jamii ya wengi, huwezi kumfananisha Traore na Mobutu kwenye hoja hii mkuu.Unajua maana ya standard?
Ulitaka Mobutu atawale mpaka mauti? Au ulitamani wakoloni waendelee kutawala Afrika sababu Democrasia siyo mambo yenu hivyo mwenye nguvu ndiyo atawalw? Au unatamani vita kule Somalia, Congo, Burundi Sudan na Afrika ya kati ziendelee hadi mwenye nguvu apatikane na aliyeshindwa akubali kushindwa? Siyo ndiyo maana yako?
Mi ndo nazipenda sasa!Ogopa tawala za kijeshi. Alianza wa Mali sasa na huyu dogo wa Burkinafaso kavutiwa.