Ibrahim Traore afuta Tume ya Uchaguzi Burkinafaso

Ibrahim Traore afuta Tume ya Uchaguzi Burkinafaso

Badala yake wizara ya mambo ya ndani itashughulikia uchaguzi katika siku zijazo, runinga ya serikali ya RTB iliripoti.
Kwahio issue ni TUME au issue ni uchaguzi Huru ?; Kwamba TUME ndio uhakika wa kwamba kutakuwa hakuna wizi ?

It's a fact kwamba demokrasia ni gharama na according to yeye ni kwamba uchaguzi uliopita uligharimu pesa nyingi sana (sasa nikuulize uchaguzi huo ulikuwa huru pamoja na hio TUME)??!!!

 
Bora ameamua kuwa huru tu kuliko kuwa na tume ambayo n ageresha tu
 
Back
Top Bottom