Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

Ila Thomas Sankara alikufa akiwa anamiliki gari moja na baiskeli mbili. Cjui magufuli?
 
Burudani kabisa...
Safi sana mkuu ✋👋👏🎬
 
Umenifanya nicheke pekee yangu kama chizi
 
Mungu huwa haishiwi watu wema, kipo kipindi chaja, waliojimilikisha Tanzania na utajiri wake, wataishi kama digidigi maporini,

Tunawapa miaka 5 tu inatosha kabisa! Wajiandae sana hizo koo zilizomiliki utajiri wa nchi yetu na kuwafanya wengine kuwa kama watumwa
 
Sijui kwanini huwa nakuona huna akili, anyway ni mtazamo wangu tu ila kama nimekukera nisamehe bure tu
 
Mungu ampe maisha anachokitamani akitimize,unfortunately watu kama hawa huwa wanakuwa na maadui wengi sana(refer tukio la Sankara Thomas).
 
Na ikawe hivo
 
Ila Mungu ni mwema sana,bila yeye kuingilia kati unajua mpaka sasa Jiwe angekuwa bado ni rahisi na sijui tungekuwa wapi
 
Huyu anapaswa kuwa Role Modal kwa viongozi wote wa Kiafrika.
Tumechelewa sana, tunapaswa kwenda kwa kuruka na siyo kutambaa!
Amandla....
 
Mm naona ukimlinganisha na Magufuli utakuwa unakosea.Huyo anaenda kasi sana kuliko Magufuli.
Magufuli bla bla zililiwa nyingi dana,kuna mambo mengi sana ya msingi yalimshinda kabisa,mfano alishindwa kabisa kujenga viwanda vya kuchenjua dhahabu,ikawa inaenda nje kama kawaida,alishindwa kabisa kupunguza utofauti wa maslahi na mishahara ndani ya serikali moja.Leo serikali ina matabaka,kuna wenye mishahara mikubwa kupindukia na wanaopata kiduchu japo woye wana elimu moja.Alishindwa kabisa kujenga mtanfao mpana wa reli ya sgr,sgr gharama zake ni inflated kuliko uhalisia.Kinachofanyika ni kufanya beding alafu unalaza reli,lakini mbwembwe nyingi.Kama tukiamua kujenga mtandao mpana wa reli tunajrnga haraka sana kwa gharama nafuu mno,hata JKT wanajenga.Hapa Magufuli sijui aliingizwaje King.
Mambo mengi tu alikuwa anaingea tu halafu utekelezaji ziro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…