Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua


Hakuna Mzalendo anayeogopa kuuawa .

Ndio maana tunasema Makonda ,Lisu ,Mpina na Baadhi ya wanajeshi ndio wanaopaswa kutawala hii nchi na kuufuta ufisadi ili tupate maendeleo na kiondokana na huu mfumo wa wezi kujipenyeza kwenye siasa na kituchagulia Mawakala wao kuongiza nchi.

Yaani Tanzania ndiyo nchi ya kuomba msaada wa mahindi kweli ?

Wananunua magari ya kifahari Kwa mabilioni ya pesa halafu wanaomba misaada mamilioni Kwa ajili ya kujenga vyoo vya mashimo .

Yaani utegemee maRais wastaafu ,mawaziri wakuu, maspika na majaji wastaafu walioiba mabilioni ya pesa Wakuchagulie rais mzalendo badala ya kuangalia wa kulinda maslahi Yao?
 
Mtanikumbuka...
 
Jiwe alikuwa mchapakazi, tatizo alizidisha sana mbwembwe, maigizo na propaganda na aliwawin waswahili wengi sana kwakuwa hawakuwa na uwezo mzuri wa kufikiri na kuchanganua mambo. Naona Bashite kabakia na vinasaba vya baba yake pia.

Kwa hayo aliyoyasema mtoa mada kama ni ya kweli na yataenda vizuri, basi huyo mwamba si wa kumlinganisha na akina jiwe.

Akitaka kuharibu naye aanze propaganda kibao zisizo na umuhimu, ubaguzi na watu waokotwe ovyo kwenye viroba. Mara ohhh wapinzani wanatukwamisha, we kila kitu umeshikilia wewe, jembe na mpini vyote vipo under your control unakwamishwaje na uliowabana mbavu?
 
Huyu ndio kiongozi anae upiga mwingi...
Mwenyezi Mungu amlinde ije kuwa mfano kwa wengine..
 
Wapo walioamuua kutokuukubali ukweli hata kiwekwe kisu shingoni

Umeelez kwa kifupi asili ya maendeleo kwa Afrika yetu
 
Kama kweli kafanya itakua jambo njema ila kwa, namna ulivyoandika kishabiki na mahaba mengi ni vigumu kuchambua ipi pumba na ipi kweli, ungetupea na source tukajisomee.
Sijawahi kuunga mikono utawala wa kijeshi, watu wanaochukua nchi kimabavu na kukalia madaraka.
 
Duh yaani anampita huyu wa kwetu... nadhani nasi tuchague maraisi na makamu umri wa kazi na sio wenye umri wa kustaafu
Nadhani bi wazo zuri tupate vijana zaidi kama alivyoanza MWALIMU
 
Unakuja Bongo...unakutana na hivi vichwa vya Vijana ....👎

Kabwe....

Nnauye

Makamba

MACHAWA.

Mbowe...


RIP JPM!!.
Tatizo la hawa uliowataja hapo juu ni wasaka tonge na wanafiki, si wanasiasa hata kidogo na hata hivyo hawana uwezo wowote wa utawala zaidi ya unafiki na uchawi tu wa kuuamaalbino.
 
Hv vyote vilivyo tajwa vimegoma kupigwa hata PICHA.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…