ICC case against Muthaura dropped while witness opts out in Ruto's case.

ICC case against Muthaura dropped while witness opts out in Ruto's case.

Hail to the Vice President Ruto. Another hit to Raila Odinga's diabolic schemes.
 
The other guy is sacred because he is part of it....
 
Why is this guy withdrawing his statements now, after the elections?

Wamfatilie huyu bwana - maisha yake yatabadilika siku si nyingi!
 
Hizi kesi za kutengeneza hazina mshiko. Ngoja movie iishe watu waanze kazi.
 
Shahidi anasema PNU ndio waliohusika halafu kuna jitu linadai eti ni njama za RAO au uelewa umegubikwa na ukabila.
 
FJM huyu bwana aliahidiwa majumba ya kifahari kule marekani na kwingine sponsorships na green card ndio ili kutoa ushaidi ya uongo , namuheshimu maana his conscience within him could not rest knowing kwamba ni mshahidi wa uongo.

Kingine ni huyo shaidi aliyewithdraw na watu wengine already kichwani mwao walikuwa wameshaconclude kuwa hawa uhuruto walikuwa ni lazima waende hague na supporters wao walikuwa wametishwa vilivyo. bali haikutendeka walivyopanga.

ninachoona ni kundi la odinga walikuwa wame overely on the ICC as a mechanism kuingia madarakani, lakini vitu zinasambaratika vibaya kufanya asiwe na utulivu hivi yuko mombasa kupeleka ghasia na machafuko vichwani mwa watu wa MRC. na aangaliwe huyu.
 
FJM huyu bwana aliahidiwa majumba ya kifahari kule marekani na kwingine sponsorships na green card ndio ili kutoa ushaidi ya uongo , namuheshimu maana his conscience within him could not rest knowing kwamba ni mshahidi wa uongo.

.

Kibaridi,

Kama huyo bwana alisema uwongo kwa sababu ya ahadi za nyumba na green card, kwanini tusiamini kuwa hata hii withdraw statement imetokana na 'another set' ya vinono, and this time around Team Uhuru Rutto ndio wametoa?
 
Kibaridi,

Kama huyo bwana alisema uwongo kwa sababu ya ahadi za nyumba na green card, kwanini tusiamini kuwa hata hii withdraw statement imetokana na 'another set' ya vinono, and this time around Team Uhuru Rutto ndio wametoa?

ndio nikasema hawa mashaidi huenda hawana evidence ya kuwashtaki kwa ICC. wngi wa hawa ulisikia kwa mfano walikuwa wanachama wa PNU, na njama waliyokuwa na ICC ni njama ya kisiasa. kwa hivyo tusingetarajia haki itendeke kwa washitakiwa. kuna vitu zatekelezwa chini chini na ole wao walidhani siri yaweza kuwa ya watu wawili.

hadithi hii inaendelea kuwa tamu nakwambia tutarajie vioja vingine
 
Hao mashahidi nafikiri wanatakiwa washtakiwe kwa kusema uongo mahakamani.
 
This kind of story illuminates the calibre of African lawyers we have on an international stage at the ICC proceedings where the prosecutor bensouda was questioned by Judge Kuniko Osaki, on the legality of her case against uhuru and ruto in relation to withdrawal of muthaura's case. Whether there still exists a 'common-plan' in prosecuting the cases.

The meeting at statehouse that hosted mungiki was decided on a 'common-plan' by uhuru and muthaura to plan mass murders. but since evidence linking muthaura is weak and charges against him dropped, then the planned statehouse meeting to execute the murders is now solely 'attributable' to mr. kenyatta and mungiki.

methinks bensouda should have thought through before inheriting the case from moreno ocampo. , is she willing to still advance with the remaining cases? She will be left to bear the mockery of a miscarriage of justice forever
 
[h=2]ICC case against Kenya’s Deputy President-elect William Ruto collapses as key witness steps down[/h]By In2EastAfrica Reporter



[h=3]THE HAGUE/NAIROBI – A lawyer for Kenya’s deputy president-elect William Ruto, who is charged with crimes against humanity, said a key prosecution witness had withdrawn, potentially complicating another case related to election violence five years ago.[/h]
William-Ruto.jpg
William Ruto
Ruto is facing a trial at the International Criminal Court (ICC) where president-elect Uhuru Kenyatta is also charged with orchestrating ethnic-fuelled violence after the 2007 vote.
Both men deny the accusations and have pledged to clear their names.
If confirmed by the prosecution, the loss of the witness in Ruto’s case could further hurt the image of the ICC and its ability to hold to account those charged with masterminding the violence.
“A significant prosecution witness got in touch through a solicitor in Nairobi saying he didn’t want to be a witness any further,” David Hooper, lawyer for Ruto, said on Tuesday.
He said the identity of the witness, who is covered by the Hague-based court’s witness protection scheme, was confidential. Newspapers in Kenya named him.
Calls by Reuters to the prosecutor’s office regarding witnesses in the Ruto case were not immediately returned.
Hooper said the prosecution had not formally acknowledged the witness’s position.
“He (the witness) was claiming that someone had put pressure on him to produce false testimony,” Hooper said.
“I think the prosecutors want to satisfy themselves that the witness is withdrawing on a voluntary basis,” Hooper said.
Kenyatta’s lawyers requested on Monday that charges against their client be dropped in part related to the withdrawal of a witness connected to his trial.
Reuters

ICC withdraws charges against co-accused of Kenyan President Kenyatta | Reuters

MY TAKE
This was anticipated, as their ascending to power means the witnesses and their families are exposed naked to their wrath as they are President and Deputy President of Republic of Kenya constitutionally allowed to have access to every secret of the state!

 
Kesi zinaanza kupukutika...
ukweli ni kwamba, maadamu mashahidi ni wakenya wanaotarajia kuendelea kuishi kenya, upo uwezekano kuwa watakuwa na hofu ya kutoa ushahidi dhidi ya Raisi mteule na makamu wake. woga ni ndo kitu pekee cha kuogopa. kesi zinaanza kupukutika kwa sababu mashahidi hawaogopi woga!
 
Back
Top Bottom