Tetesi: ICC Ndani ya Tanzania

Hivi Najiuliza zile recorded clips za JKN siku hizi zimepigwa marufuku kwenye TV Station zetu?Au wa naogopa Kesi za Uchochezi?
Yaani huyu jamaa keshavipiga mkwara hata vyombo vya habari hususani TV stations.

Jaribu kuimagine ni kwa nini katika kipindi hiki muhimu ndiyo ile clip ya Mwalimu Nyerere kwenye hotuba yake ya mwaka 1995, ambapo aliongea kwa msisitizo mkubwa kuwa Rais tunayemchagua ni lazima aitii na kuilinda Katiba ya nchi yetu, na iwapo itatokea kwa bahati 'mbaya' tumechagua Rais ambaye hataki kuitii Katiba yetu, Mwalimu aliendelea kusisitiza kuwa Rais wa aina hiyo HATUFAI...

Inaonekana clip hiyo TV stations karibu zote wanaogopa kuiweka kwenye TV stations zao ili wasije onekana kuwa wanamjaribu Mtukufu wakati yeye mwenyewe ameshaeleza hadharani kuwa hajaribiki...........
 
Mtu yeyote anayesigina katiba ni mchochezi namba moja. Huwezi sigina katiba na sheria alafu unataka watu wasikujadili.
 
Dr Tulia wanyooshe hawa majizi Chadema tumeshachoka.


Watu wazima lkn kazi yao kulialia tu kila siku
 
Kumbe kuna dalili za watu kula pingu hapa eti? ICC hawanaga mchezo,mimi sjkuamini kama Laurent gbagbo,Charles tailor rodovan karadiv,slobodan milosevic wangekuwa huko
 
Mkuu huwa hajaribiwi na hatojaribiwa
 
Hizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi
Huyu mtu mnamwinua sana kama nebkadneza
 
UKUTA hawatapona,lazima waende ICC wakajibu Ukaidi na uchochezi wa kuvuruga amani ya nchi na kutaka kusababisha Machafuko japo haeataweza mbele ya Rais asiyejaribiwa!
 
Katika vitu ambavyo sivipendi dunia hii siwezi kukiacha ICC. Wanawaogopa ISIS lkn wanakuja TZ. Au kwa vile ISIS hawapo kusini mwa jangwa la sahara? Kitu gani hasa kilichotokea Tanzania hadi waje? Pumbavu kweli hawa.
 
Hizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi

Duh, hivi wewe ni Kaka yake Jesca? Sikujua. Maana una jqzba kweli
 

Kikubwa ni Tanzania ikombolewe kutoka katika makucha ya Ukoloni.

Habari ya The Hague inaweza kupokelewa kwa furaha sana na baadhi ya wahusika kwa sababu hawajafika Ulaya, na wengine waliozoea kwenda kule wakazuiliwa wanaweza kuona kifungo kimefunguliwa wakabadilisha mazingira. Wanaoogopa kwenda Ulaya kwa kisingizio cha kubana matumizi na kumbe ni kwa sabaabu wanaogopa kuongea kiingereza kule, utawaona watakavyofurahia trip!.

Ukombozi kwa taifa kwa njia yoyote salama.
 
Unahisi hao ICC wanaangalia polisi tuu hata viongozi wanao lead people to riot they are in trouble.

Kama wewe georgetemu95 autumii mdomo wako kuharisha uku ukibwabwaja toa mfano ni kiongozi gani wa mahandamano aliyewai kupelekwa mahakama ya uharifu.

inshort hacha kuarisha kwa kutumia mdomo
 

Haki itendeke tu. Ikibidi kupelekwa The Hague na wapelekwe
 

Kama ni kweli sawa lakini naona unatoa taarifa za uongo watakujaje bila mamlaka husika kujua? Mf Mahakama na wengine na watafanyaje kazi huo ni uongo kabisa na unatakiwa uthibitishe ndani ya siku tatu
 


Nadhani hujui kazi za ICC na ICJ na umeshindwa kuthibitisha hayo ICC inashughulikia uhalifu wa kivita,Mauaji ya kimbari (Genocide) but ICJ ni haki za binadamu , uongozi bora, wachochezi wa migogoro ndani ya nchi zao.
 
CHADEMA viongozi wake, kwa lugha yao ya kuchonganisha viongozi wa Serikali (hasa Rais)na wananchi, ni uchochezi. Kwa hilo ni busara, kwa Serikali yenye wajibu wa kulinda amani, kuwazuia.

Haki ni kwa kila mtu (mtawala na mtawaliwa). Haki na wajibu. Uhuru na kazi. Demokrasia wape wengi. Wengi walichagua CCM kuoongoza nchi hii hadi 2020.
 
Mtu yeyote anayesigina katiba ni mchochezi namba moja. Huwezi sigina katiba na sheria alafu unataka watu wasikujadili.
Tujadili kwanza viongozi wa UKAWA wanaosigina Katiba za vyama vyao. Kwa mfano waliteua wagombea katika uchaguzi mkuu 2015 kwa matakwa yao wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…