Mystery
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 15,843
- 31,057
Yaani huyu jamaa keshavipiga mkwara hata vyombo vya habari hususani TV stations.Hivi Najiuliza zile recorded clips za JKN siku hizi zimepigwa marufuku kwenye TV Station zetu?Au wa naogopa Kesi za Uchochezi?
Jaribu kuimagine ni kwa nini katika kipindi hiki muhimu ndiyo ile clip ya Mwalimu Nyerere kwenye hotuba yake ya mwaka 1995, ambapo aliongea kwa msisitizo mkubwa kuwa Rais tunayemchagua ni lazima aitii na kuilinda Katiba ya nchi yetu, na iwapo itatokea kwa bahati 'mbaya' tumechagua Rais ambaye hataki kuitii Katiba yetu, Mwalimu aliendelea kusisitiza kuwa Rais wa aina hiyo HATUFAI...
Inaonekana clip hiyo TV stations karibu zote wanaogopa kuiweka kwenye TV stations zao ili wasije onekana kuwa wanamjaribu Mtukufu wakati yeye mwenyewe ameshaeleza hadharani kuwa hajaribiki...........