Tetesi: ICC Ndani ya Tanzania

Lini watamkamata Bashir?

Lini wataenda Juba?

Vipi kuhusu DRC na Burundi?

Watu wazima hawatishiwi nyau...hayo mapambio ya ICC kwenye nchi huru ni ujinga tu.

Tukitaka hata kesho tunajitoa kwenye huo mkataba.
 
Hajaribiwi wapi? Hana lolote ni ukatili wa kukosa busara! Nchi ni yetu sote
QUOTE="jfamily, post: 17353999, member: 382365"]Hizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi[/QUOTE]
 
Nadharia (theory) kuhusu MAISHA inasema kuwa, "Usilolitarajia ndilo Huwa"
 
Wameingiaje, kama hawajulikani walipo?? Unafikiri wanavuka mikoa tu, ni nchi aisee!!!
 
Kwa akili yako unadhani ICC wanaweza kuja nchini bila serikali kujua? au unafikiri hii siyo Nchi? Unadhani mipaka ya nchi yetu ni kama uchochoro wa vichakani?
 
Hague inawasubiri miungu Watu hao
 
Hao ICC waanzae na Mbowe maana anahamasisha vurugu anataka awape vijana viroba ili Sept Mosi waandamane
 
Wamekuja kuongea na kafu
 
'DAY DREAMER'
Hivi unafahamu protokali inayohusiana na vyombo vya kimataifa kufanya kazi nchini?
 
Unahisi hao ICC wanaangalia polisi tuu hata viongozi wanao lead people to riot they are in trouble.
Embu tuliza moyo wako alafu fuatilia historia ni lini toka chadema iwepo ilishafanya vurugu kwenye maandamano au mikutano yake.kwa maana ya kwamba wameandamana na kufanya vurugu mtaani zaidi ya wao kuvurugwa na vyombo vya dola !!??
 
Hizo juhudi za kutaka nchi isitawalike hazitafanikiwa kama kuna watu kawatuma basi subirini, magufuli huwa hajalibiwi
HAJALIBIWI -- HAJARIBIWI

Asijaribiwe yeye nani haswa..?
Yesu mwenyewe alijaribiwa...
Kwanza hakuna mtu wa kumjaribu, ajaribiwe kwa lipi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…