5523
JF-Expert Member
- Nov 13, 2014
- 2,275
- 2,410
Kwani hao russia hawataki uhuru wao kuondokana na udikteta wa putin au unadhan warusi wanafurahishwa na uharamia wa putin? ikibidi atashikwa na hakutakuwa na chochote, putin na wafuasi wake wanajulikana ni ndaro tu hana kituAcha ujinga ICC ni chombo cha kibeberu kwa masilai ya hao wamarekani , russia sio iraq au libya safari hii wameisha sasa kama wanajiamini hao Nato na ICC. yao si wapeleke makomando south wakamshike, na kama russia inatania si wamshike waone[emoji3480]