ICC yatupilia mbali Kesi Ya Uhuru Kenyatta!!

ICC yatupilia mbali Kesi Ya Uhuru Kenyatta!!

oooh yes imekula kwao hiyo..............how could she(Prosecutor)be in a position to win the criminal cases against the Kenyan President yet she was busy pursing evidences from the same suspect' Government?the cases were doomed to fail right from the beginning..............kudos the defense team..........fanya kazi sasa tena kwa nafasi bwana Rais Kenyatta...........mbona hiyo court haiwafati the likes of George Bush,Tony Blair..the list is long...ambao wamefanya maangamizo makubwa tu kwa binaadamu wasio na hatia..
 
Ni zamu ya Kenyatta sasa,kudai fidia kwa kudhalilishwa!!

kenyata sio type ya wanasiasa wako wa kiafrica,angalia mahamuzi mengi anayoyafanya nchini mwake utagundua huyu ni kiongozi bora.Hatomshitaki mtu.Hongera uhuru tulia sasa uendelee kuwasambaratisha al shababu
 
Party in Nairobi.
absolutely!

Kama kurudi tu kutoka kwenye Mahakama ilichukua masaa kutoka uwanja wa ndege mpaka Ikulu kutokana na maelfu ya wananchi kujitokeza kumshangilia, hii ya kufutiwa mashitaka itakuwa ni sherehe kubwa!
 
....wakat mashahidi wote wakitishwa na kufichwa ili asikutwe na hatia alafu leo mtanzania eti unamsifia KENYATA kwa lip hasaa…!!!

Inawezekana aliyekuwa ''anawatisha na kuwaficha'' hao mashahidi sio Kenyatta na serikali yake, bali wadau wengine wanaofikiri sio fair kabisa kumshtaki Kenyatta wakati potential direct beneficiaries wa ile vurugu (Odinga, Mwai Kibaki et la) wanapeta mtaani kwa raha zao
 
mashahidi waliohongwa wakajitoa (ikiwa tuhuma hizo ni za kweli na ikiwa wapo) wajiandae kwa kiama cha mafia wa kenya
 
mahakamani ndo kuna haki? just go on figure, keep with what u being taught in school, these were meant for big brains.

Sasa unalalama nini?! Na pale hague kilikuwa kinatafwa nini?
 
Angekuwa sio raisi angefungwa tu ,lakini atakaye mhukumu ni Mungu,baada ya kupata uraisi ndipo mashahidi wengine wakaanza kujitoa na wengine kufa kwa njia zisijulikana na wengine wakafyata mkia.Nategemea nae Ruto atapona
 
Angekuwa sio raisi angefungwa tu ,lakini atakaye mhukumu ni Mungu,baada ya kupata uraisi ndipo mashahidi wengine wakaanza kujitoa na wengine kufa kwa njia zisijulikana na wengine wakafyata mkia.Nategemea nae Ruto atapona

CORDED mind
 
Sasa jumba bovu litamuangukia Ruto, naibu rais hapo ndo atawajua wakikuyu ni wakina Nani.. ataozea jela huku Kenyatta anapeta.
 
This was a foregone conclusion.

There was too much witness tampering.

Who in their right mind would testify against a sitting African head of state?

The case was a non-starter the moment Kenyatta "won" the election.

What was the evidence against his co-accused before he even became president?
 
Hongera sana .sio kama raisi wa sudan ya khatum anayekimbikimbia
 
Back
Top Bottom