Ice bucket challange

Kukikucha nitaanza hiyo kazi tatizo sitaweza kuiweka JF. privacy yangu itakua imeharibika ha.habha ha ha ha
hahaha uzalendo wetu ina mana wa kinafki
 
Its a creative way of raising fund...wabongo tumeishia kwenye kadi! #sad
 
Bongo hata wakifanya hao wasanii labda watachangia bukubuku tu.. kama kusaidiana wenyewe kwenye misiba na magonjwa wanaomba raia tuwachangie.

Labda tufanye wenyewe mashabiki tu.
 
nimeona hata kwenye instagram ya davido kiboko ya diamond naye akimwagiwa maji na amemnominate don jaz
 
Charlie Sheen ndo aliwafunika wenzie.

Last edited by a moderator:
Messi kamwagiwa maji kapiga kelele kama vile anafukuzwa na mapanga aiseeeeeeee hii kiboko
 
nimeona hata kwenye instagram ya davido kiboko ya diamond naye akimwagiwa maji na amemnominate don jaz

Bila kumtaja diamond coment isingeeleweka au?maana sijaona umuhimu wa diamond kwenye uzi huu
 
Hawa wenzetu wana ubunifu na ushirikiano wa hali ya juu
 
Bongo hata wakifanya hao wasanii labda watachangia bukubuku tu.. kama kusaidiana wenyewe kwenye misiba na magonjwa wanaomba raia tuwachangie.

Labda tufanye wenyewe mashabiki tu.

Labda Washindane Kunya M.a.k.i.m.b.a makubwa baada ya kula Makange facebook take awat
 
MMEMWONA MORINHO?AMECHEKESHA
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…