Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
sielewi why hii kitu wengi wanaheshimu kwa kuijibu
Nadhani nikuendelea kuunga mkoni kampeni hii ya kusaidia tafuti mbalimbali juu ya cancer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sielewi why hii kitu wengi wanaheshimu kwa kuijibu
tuanze mi na ww,tutupie maji
hahaha uzalendo wetu ina mana wa kinafki
Mkuu kujionyesha humu itaminyima uhuru
Nadhani nikuendelea kuunga mkoni kampeni hii ya kusaidia tafuti mbalimbali juu ya cancer
Yaani uandishi wako unatusababishia kansa wasomaji..tafuti ni kitu gani?
nimeona hata kwenye instagram ya davido kiboko ya diamond naye akimwagiwa maji na amemnominate don jaz
Inaitwa ALS ice bucket challenge, ni charity fund raising and awareness creation kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa cancer, kinachofanyika ni mtu anakuwa nominated na mwenzake akubali kujimwagia maji ya baridi/barafu au kulipa $100 kwenda kwenye hiyo taasisi. Endapo ukijimwagia utachangia $10 . mwaka ulioisha kwa kipindi cha July - august walikusanya zaidi ya $1.8 million na mwaka huu tayari wamekusanya zaidi ya $18 milion . fedha hizi zitatumika kuwezesha tafiti mbali mbali juu ya hiyo cancer pamoja na kusaidia wagonjwa
Bongo hata wakifanya hao wasanii labda watachangia bukubuku tu.. kama kusaidiana wenyewe kwenye misiba na magonjwa wanaomba raia tuwachangie.
Labda tufanye wenyewe mashabiki tu.