Iceman 3D na Neybright nawaomba mrudi JF

Iceman 3D na Neybright nawaomba mrudi JF

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Nyie watu rudini basi jf nawamiss jamani hasa Iceman 3D namiss comment zake,ucheshi wake,Pia Neybright Ruud basi mama umrudishe na huyo kidume

Jomonii plzzzz hata mara moja moja Tu.pia natumaini mtakuwa wazima wanafyaa ndio furaha yangu

Sakayo njoo unisaidie
 
Iceman 3D namkumbuka kule kwenye jukwaa Madrid...kipindi hicho pia wapo wale waliozaliwa wanatukana;padre mcharo,Sergio 5/Alonso14 na yule Mme wenu....Natamani mods wazifungulie tena hizi IDs niendelee kuenjoy sababu zote zina lifeban
 
Iceman 3D namkumbuka kule kwenye jukwaa Madrid...kipindi hicho pia wapo wale waliozaliwa wanatukana;padre mcharo,Sergio 5/Alonso14 na yule Mme wenu....Natamani mods wazifungulie tena hizi IDs niendelee kuenjoy sababu zote zina lifeban

Walikuwa wanafanyaje?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!!! Yaani hawa watu walikuwa wakikutana angle yoyote basi ni kutukanana tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Basi sisi watazamaji nikucheka tu
Kuna uzi Mme wenu alikutana na padri mcharo,padri mcharo ndo aliyemqoute Mme wenu sikumbuki sijui alimtukana...Sasa Mme wenu akamjibu "hivi hujaolewa tu bado?" Padri mcharo akamwambia "kumbe unajua nimeolewa halafu bado unanifuatilia basi tuliza kijambio"...,Dah nilicheka.
Siku nyingine huyo Padri mcharo alikutana na Alonso14 uzi fulani hivi,wakatukanana wee ila mwishoni ndo nilicheka; Padri mcharo alimwuliza Alonso14 " unamjua yule mwanamke aliyeimba njiwa peleka salami?" Alonso14 akamjibu "Huyo mwanamke si ndo wewe"....Aisee niliumwa mbavu hiyo siku!!!...Hadi leo nikiwakumbuka hawa watu huwa nacheka...,mods watoeni kifungoni hawa watu[emoji38][emoji38][emoji38]

Yes unasema kweli kuna watu wakiwa humu wanachangamsha sana
Mfano Iceman mi akiwemo Ana maneno fulan hivi lazima nicheke


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom