Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo uchokozi ila ni muda mrefu nilikuwa sioni manjonjo yako hapa JF. I really missed you.Ila Josh we mchokozi mi mbona nipo kila siku
Hata mimi sijamuona Mama Sabrina mda mrefu sana humu[emoji125][emoji125]
Siyo uchokozi ila ni muda mrefu nilikuwa sioni manjonjo yako hapa JF. I really missed you.
Iceman 3D namkumbuka kule kwenye jukwaa Madrid...kipindi hicho pia wapo wale waliozaliwa wanatukana;padre mcharo,Sergio 5/Alonso14 na yule Mme wenu....Natamani mods wazifungulie tena hizi IDs niendelee kuenjoy sababu zote zina lifeban
Kwa hiyo siruhusiwi kum-miss mama sabrina mkuu?Acha basi utani mkuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo siruhusiwi kum-miss mama sabrina mkuu?
Uvivu au shemeji anakaba mpaka penati?
[emoji23][emoji23]
Pole sana.
Huko Mwanza kwema lakini?
Duh!!! Yaani hawa watu walikuwa wakikutana angle yoyote basi ni kutukanana tu[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Basi sisi watazamaji nikucheka tu
Kuna uzi Mme wenu alikutana na padri mcharo,padri mcharo ndo aliyemqoute Mme wenu sikumbuki sijui alimtukana...Sasa Mme wenu akamjibu "hivi hujaolewa tu bado?" Padri mcharo akamwambia "kumbe unajua nimeolewa halafu bado unanifuatilia basi tuliza kijambio"...,Dah nilicheka.
Siku nyingine huyo Padri mcharo alikutana na Alonso14 uzi fulani hivi,wakatukanana wee ila mwishoni ndo nilicheka; Padri mcharo alimwuliza Alonso14 " unamjua yule mwanamke aliyeimba njiwa peleka salami?" Alonso14 akamjibu "Huyo mwanamke si ndo wewe"....Aisee niliumwa mbavu hiyo siku!!!...Hadi leo nikiwakumbuka hawa watu huwa nacheka...,mods watoeni kifungoni hawa watu[emoji38][emoji38][emoji38]
Halafu jamaa kapotea kipindi kirefu!! Nakumbuka kuna Uzi tena hivi walimwita hakutokea... Labda huu atakujaYes unasema kweli kuna watu wakiwa humu wanachangamsha sana
Mfano Iceman mi akiwemo Ana maneno fulan hivi lazima nicheke
Sent using Jamii Forums mobile app