Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
😊😊😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😊😊😊
😊😊😊kaone..khantwe kwa kabila langu mm ni kakichwa
Na mimi hivyo hivyo [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]kaone..khantwe kwa kabila langu mm ni kakichwa
Humu humu kwenye iyi siredi, ila kama jasho linanitoka bwana rol modo[emoji26][emoji26][emoji26] huwa wanaanza aje kumsalimia Demiss[emoji23]lakini mkuu umenistukiza nilienda kucheki profile yako nikakutana na mada yako ya u domo zege basi anza kumsalimia Miss Natafuta na Demiss
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂💪👍
Atakuja maana ushamwitaHumu humu kwenye iyi siredi, ila kama jasho linanitoka bwana rol modo[emoji26][emoji26][emoji26] huwa wanaanza aje kumsalimia Demiss
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio iyo niliambiwaga na Raïs Tshisekedi apa Kariakoo ya Kinshasa
Heaven Sent huyu mtoto namkubali sana aisee hata yeye anajua. She is smart, good hearted and God fearing. espy ubarikiwe kwa kutuzalia huyu kiumbe
Mwingine Nalendwa .. Huyu dada simpatii picha sijui anafananaje yaani natamani kumuona
Madame S aisee hujakosea kujiita madame
Karucee dada Mungu akubariki
sana
Rebeca 83 we mdada nakupendaga sana
Shunie Mzigua90 manengelo cute b Raynavero mko charming mpaka mnaboa yani [emoji23][emoji23][emoji23] Mungu awape maisha marefu Thad (japo sikupendi ila nakukubali)
Evelyn Salt nisipokuona siku tatu naumwa
Wadogo zangu Sakayo Maserati Baby Doll nawapenda
Neybright nilisema unikumbushe mume wetu ukala kona, pamoja na hayo nakukubali sana uko vizuri
Kasie nadhani hakuna asiyemjua, I love you
brenda18 Valentina wahenga wenzangu nimewamisi
Hivi yule Dr Preta yuko wapi aisee nimemmisi mnoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi inawezekanaNdio iyo niliambiwaga na Raïs Tshisekedi apa Kariakoo ya Kinshasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ma domo zege pia tunaweza tukapata something special kama bwana rol modo
Aah sana tuKumbe ma domo zege pia tunaweza tukapata something special kama bwana rol modo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa bwana rol modo, nahisi naanza kutoka katika CHAMATA na CHAPUTA mdogo mdogo
Sent using Jamii Forums mobile app