Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣mkuu Ni ID tu au kunanyongeza ya chochote..Piga gharama ya kujenga majengo mawili kila nchi yenye uwezo wa kuishi watu 6,000@ wasiojiweza na kuwasimamia kwa miaka 100 na kuwahudumia kwa kuwajengea shule, hospitals na huduma zingine muhimu za kijamii.
Ukiweza kulipa hiyo gharama, ID yangu nakupa bure.
Mimi hata ukisema unanipa na milioni kumi sichukuiKuna id haziwezi uzika yani Kama ya kwangu sio kuuza bali nakupa halafu ili uikubali nakupa na tuhela..🤣 Yani Kama ni thamani yake Basi ni sawa na negative 10000. It means hata hata nikikupa I'd bado unanidai na tuhela twa kubembelezea ili uikubali..😅
Nyie ndo hata pepo hamtaiona..🤣Mimi hata ukisema unanipa na milioni kumi sichukui
Kaka hiyo ni ID tu.[emoji1787][emoji1787]mkuu Ni ID tu au kunanyongeza ya chochote..
Nipungizie ni nunue
Kuna id haziwezi uzika yani Kama ya kwangu sio kuuza bali nakupa halafu ili uikubali nakupa na tuhela..[emoji1787] Yani Kama ni thamani yake Basi ni sawa na negative 10000. It means hata hata nikikupa I'd bado unanidai na tuhela twa kubembelezea ili uikubali..[emoji28]
Alfu kumi nitakupa na yakutolea nitakuongezea na ya maji ya kunywa halafu nitakupa na makomamanga mawili bila kusahau na uji wenye sukari tamutamu na tumapera tuwili mixer na sungwi bila kusahau na pilipili hoho.. hapo vipi..?Naitaka utanipa sh ngapi
🙆kaka Tena 🙄Kaka hiyo ni ID tu.
Itakuwa I'd ya afande sele1,700/=
Alfu kumi nitakupa na yakutolea nitakuongezea na ya maji ya kunywa halafu nitakupa na makomamanga mawili bila kusahau na uji wenye sukari tamutamu na tumapera tuwili mixer na sungwi bila kusahau na pilipili hoho.. hapo vipi..?
Tufanye hivi nakutumia nauli uje gheto uchukue hapo vipi mrembo..?Ondoa tu pilipili hoho [emoji23][emoji23][emoji23]ongeza na ya kutolea