Id Yako ya JF Utaiuza Shilingi Ngapi?

Id Yako ya JF Utaiuza Shilingi Ngapi?

Pesa cash hii hapa nimeipendea uzi wako wa jokes ila majukwaa mengine inapumba tu... buku inakutoshaaa [emoji16][emoji16]
Ebwana kwahiyo umeamua kumpa ukweli wake ili asifikirie kupandisha bei[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi ntakuwa nna madeni mengi sn kwanzia benki, voda, tigo mpaka halotel
 
Back
Top Bottom