ID za JF bana. . . .

Nami nimewastukia.... Acha waseme mie nala tu!

Wanatimua mavumbi sisi twalaaaaa.
Wanataka mapinduziiiii,
Na mapinduzi hawayaweziiiiiiii
Usiende mbali namiiiiiiiiiii

Itikia cacico my sugar tafazali

We babu nawe kubali umri umekutupa mkono bana!! we Cacico huyo babu wa kazi gani!? si umwambie aende kwa watu wazima wenzie akina Mamdenyi!
 
Last edited by a moderator:
ngoja hubby mwenyewe aje achanganue hii tungo tata hapa! Khaaaaa!
 
We babu nawe kubali umri umekutupa mkono bana!! we Cacico huyo babu wa kazi gani!? si umwambie aende kwa watu wazima wenzie akina Mamdenyi!
Baba V nakuonaga huko juu! lol
 
Last edited by a moderator:
Umejuaje!? sema tu ndo hivyo Young Master alitishia kuroga mtu otherwise......!!!
we nawe! nilihama kitaaamboooo kwa wapekuzi, lol! sasa hivi ni ukaguzi kwa kwenda mbele!
 
Achana na huyo mzee,we unakubali tu, jeans alivaa na wengine kwako kaja na msuli!!!
Baba V sijui kama naweza hama hapo kwa bby wangu, kwako kibabu, lakini kwangu ndio kwanza ana miaka 22! lol, umri wake sawa na okwi wa sintah! mbavu zangu mie!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…