ID za JF bana. . . .

ID za JF bana. . . .

mh, Ronn M mie najipendate mtu wangu huwa ctaki ma-nickname ya ajabu ajabu!
 
Last edited by a moderator:
mh, Ronn M mie najipendate mtu wangu huwa ctaki ma-nickname ya ajabu ajabu!
 
Last edited by a moderator:
Taratibu kaka, king'asti wangu Yuko hapa hapa.
Ila usithubutu kumuota king'asti, utauza nyumba ya Urithi
 
khaaa! msiri wangu watu wanamlia babu. sijawah kuona kabisa jamani wewe tena? manake hata wale wenye sura za show rum kama erichb52, waliojazia kama Judgement na HorsePower, watulivu kama boss uliwapiga chini, sembuse vigumegume ma dia. sijaona wa kumpiku your hubby Asprin mamito ingawa sasa wewe unawalia wenzio kipunjo.

ngoja hubby mwenyewe aje achanganue hii tungo tata hapa! Khaaaaa!
:flypig::flypig::flypig::flypig::flypig:
 
mpo wanajf! Heshima kwenu, naona mnapunguza msongo wa mawazo taratiibu
 
mpo wanajf! Heshima kwenu, naona mnapunguza msongo wa mawazo taratiibu

Yaani jf ni kama maji. Usipoyanywa utapikia. Usipo pika utaogea. Usipoogea utanawa mikono. Na ikitokea umekuwa mbishi basi yatakumwagikia kwa mvua. Bishanga na Asprin wanajua hilo kwa undani
 
Back
Top Bottom