Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.
Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui.
Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna mtu alishawahi kupanga miadi ya kukutana na mbebez, halafu akakuta labda ni mwenyekiti wake wa jumuiya 😂, akatoka ndukiiiiiiii.