ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

Niliwahi kujaribu kufanya uchunguzi kupitia watu wanaonizunguka kama kuna wanaotumia JF lakini nikakuta hamna kabisa. Kwanza watu wanauliza ndio kuna nini huko huku wengine wakisema wao ni wavivu kusoma soma
Waongo, hata mimi kuna mtu aliniambia khs JF nikamshangaa sana ndio kitu gani? Lakini ukweli naujua mwenyewe 😹😹😹

Wengine walikuwa wanasimuliana chai moja wasijue hiyo chai mpikaji ni mimi 🤣
Toka hapo kuanzia Twitter (x) ig kote nikafungua fake id ili niwe huru 😹
 
Moja ya jambo ambalo nalichukia 😂 ni hili la kupata marafiki humu na mkaivana ila ndo hivyo hamjuanii

So unakuwa una create picha ya huyo mtu jinsi alivyo! Kumbe sivyo alivyo

By the way! Fake I'd zinawafanya watu wengi kuishi katika uhalisia wake! Anapiga Spana, anatukana, anadharau yaani anakuwa yeye halisi

Ila Pengine ukimkuta mtu huyo huyo nje Jf anajifanya kivingine!

Mzee ijumaa tuonane Monetary doctor 😂
Ijumaa ni ngumu sana mzee jpl labda😂😂
 
Wewe peke yako ndiyo nakujua kiukweli ukweli humu 🤣 🤣 🤣 🤣

Ila ulilosema kuhusu "uhalisia" ni kweli kabisa. Hata mimi namna ninavyofunguka na kuandika humu watu wa duniani wakinijua, nimekwisha 😂😂😂😂
 
Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.

Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui.

Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna mtu alishawahi kupanga miadi ya kukutana na mbebez, halafu akakuta labda ni mwenyekiti wake wa jumuiya 😂, akatoka ndukiiiiiiii.

View attachment 3257897
Huyo anaekimbia mbona kama mshamba_hachekwi ?
 
Wewe peke yako ndiyo nakujua kiukweli ukweli humu 🤣 🤣 🤣 🤣

Ila ulilosema kuhusu "uhalisia" ni kweli kabisa. Hata mimi namna ninavyofunguka na kuandika humu watu wa duniani wakinijua, nimekwisha 😂😂😂😂
Afu Mimi sikujuiiiii hii imekaaje? 😂😂

Kuna watu wawili tu ndo wananijua mmoja wapo ni wewe ila wote Mimi siwajui

Mtu anaweza kujiuliza inawezekanaje? Ila imenikuta Mimi 😂

Kwanini watu wa Duniani? 😂
 
jamii forum, watu wa kawaida ni ngumu kuwepo humu, huu ni mtandao wengi ni wasomi wenye dipma, digrii, mastaz na Phd

Inawezekana ukapanga date ukakutana na mwenyekiti wa jumuiya yako, kwenye date za namna hii watu huenda kwa machale, kuna ile unapanga date na mtu ukiwa na picha kichwani mwako kwamba yuko hivi unaenda kimachale ukikuta yuko tofauti unakula nduki
Leo ndo najua JF inatumika kama dating site. My future mume, where are you tuonane?
 
Wewe peke yako ndiyo nakujua kiukweli ukweli humu 🤣 🤣 🤣 🤣

Ila ulilosema kuhusu "uhalisia" ni kweli kabisa. Hata mimi namna ninavyofunguka na kuandika humu watu wa duniani wakinijua, nimekwisha 😂😂😂😂
Makutupora ndo maana ukimwita huwa hajikwai pamoja na mibio yote anayotoka nayo machakani 🤣🤣🤣
Mshangazi dot com makutupora
 
Wewe peke yako ndiyo nakujua kiukweli ukweli humu 🤣 🤣 🤣 🤣

Ila ulilosema kuhusu "uhalisia" ni kweli kabisa. Hata mimi namna ninavyofunguka na kuandika humu watu wa duniani wakinijua, nimekwisha 😂😂😂😂
By the way ... Kipi kimekufanya uwamini ukweli yule ni Mimi 😂

Je kama sio Mimi? My dyadyaaa 😂
 
Makutupora ndo maana ukimwita huwa hajikwai pamoja na mibio yote anayotoka nayo machakani 🤣🤣🤣
Mshangazi dot com makutupora
Umenichekesha sana mkuuu!

Unataka kusemaje kwanini 😂😂 ... Kwamba akiniita nisipoitikaaa 😂😂

Ila ki ukweli hii fake I'd inafanya jf inanoga usikute hata wewe unanijua ila hivyo Tena 😂
 
Back
Top Bottom