ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

Ukute mimi na wewe tunafahamiana vizuri tu 😀ila sasa ndo hivo
Yani kuna story niliandika ya dada aliyeacha kazi ofisini kwetu kuja kunihudumia kipindi nina ujauzito, nilivyokuona mara ya kwanza nilifikiri, mmh huyu asije kuwa yule Mamu wangu jamani 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Humu watu wanatumia ID fake ndo maana tunachat kwa uhuru zaidi
Ha ha. Unasema tuna chati kwa uhuru kwa sababu za Id feki, wakati uhalisia ni kwamba tuna chati kwa uhuru wakati wote na pahala popote.

Nadhani ulitaka kusema, huwa tunatukanana kwa uhuru zaidi😅😜
😂😂😂💭
 
mi nikiwa nasoma comment ya mtu ambaye ameweka avatar ya celebrity nnaye mjua huwa nasoma kichwani kwa sauti ya yule celebrity kama simjui nasoma kutokana na avatar ilivyo kama ya mtu anayeonekana mpole nasoma kipole,mtu wa vituko hivyo hivyo na kama hajaweka avatar ya mtu nasoma kwa sauti yangu.
Kwa hiyo sisi tusio na avatar unatusomaje bwana dosho12 ? Kwanza kwenye vikao vya Majobless sikuoni siku hizi
 
Ha ha. Unasema tuna chati kwa uhuru kwa sababu za Id feki, wakati uhalisia ni kwamba tuna chati kwa uhuru wakati wote na pahala popote.

Nadhani ulitaka kusema, huwa tunatukanana kwa uhuru zaidi😅😜
😂😂😂💭
Tunakuwa sisi wale halisi nje ya kuvaa ngozi ya Kondoo kumbe ni mbwa mwitu kwa uhuru zaidi

Unaweza kukuta anayekutukana hapa, ndo mwenyekiti wa Jumuiya ambaye Jana alikuwa anakutia moyo 😂
 
Umenichekesha sana mkuuu!

Unataka kusemaje kwanini 😂😂 ... Kwamba akiniita nisipoitikaaa 😂😂

Ila ki ukweli hii fake I'd inafanya jf inanoga usikute hata wewe unanijua ila hivyo Tena 😂
Kwamba hata kama una short call ukisikia sauti ya Mshangazi dot com unakatilia mbali hiyo short call irudi kipofuni 😅😅😅😅

Atakuwa amekufanyia tuning huyu za frequency 😂😂😂
makutupora
 
Yan ukute unachati na x wako na mapenzi yamenoga sasa mmepanga kuanzisha relationship, unaenda kukutana na huyo mtu unakuta ni zombie lile lile lililokulet down....Gademit....
Nimecheka kidogo nidondoke chini 🤣🤣🤣
200.gif
 
Niliwahi kujaribu kufanya uchunguzi kupitia watu wanaonizunguka kama kuna wanaotumia JF lakini nikakuta hamna kabisa.
Lini ulifanya utafiti huo, kama ni jana tu, ujue walikuwa mfungoni na walijizima data tyu au Unazungukwa na watu masikini sana🤣🤣
Kwanza watu wanauliza ndio kuna nini huko huku wengine wakisema wao ni wavivu kusoma soma
aha, weye lazima utakuwa unapenda sana kusoma mazee. Jamii inawahitaji, sana watu kama ww, uwafundishe watu kusoma na uwakomboe wataacha uvivu.

😂

💭Hapa nawaza tyu, huyu anaishi kitaa gani.
 
Kwamba hata kama una short call ukisikia sauti ya Mshangazi dot com unakatilia mbali hiyo short call irudi kipofuni 😅😅😅😅

Atakuwa amekufanyia tuning huyu za frequency 😂😂😂
makutupora
Hahahaha sio kweli mkuu! Kwanini unasema ivo? Ni jibu hili swali la mwisho Kisha nibubujike na Mimi 😂

Unadhani ni kwa Sababu ananijua ndo maana I just respond her quickly or sijaelewa 😂
 
Back
Top Bottom