Unachosema ni kweli mkuu 😂. Sijui nimeumbwaje ila Mimi ni mtu ambaye Niko so real!
Nadhani maisha ya Falsafa niliyoachiwa urithi na Marehemu Padre Privatusi Karugendo ndo yananifanya niwe ivo!
Huyu
Mshangazi dot com ni Moja ya watu wachache ambao walinisaidia siku moja nikiwa so down ... Nilipoteza Tumaini la Maisha!
Unajua ni ngumu sana mtu kujali maumivu na hisia Zako ikiwa hakujui wala Hana undugu na wewe? She acted tofauti
Hivyo Mimi ni kama yule msamaria, naukumbuka sana msaada wake wa Ile siku!
Pengine kama si yeye na wengine wachache ningekuwa nimeshachukua maamuzi magumu ya kimaisha ... Mbaya zaidi simjuiii 😂