ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

ID za JF zinaficha mengi, unaweza kukuta unachat na baba yako mzazi huko PM na haujui

😂
Mwananyamala kuna jamaa walikuwa wanamlipa mhudumu wa lodge apeleke wateja kwenye chumba ambacho kilikuwa kinapigika chabo kiurahisi ili wateja wakienda wao wakapige chabo sasa siku moja bwana mmoja wa hawa jamaa wanaolipa mhudumu kupeleka wateja kule ili wapige chabo hakuwepo, wenzake walikuwepo wanapiga chabo, jamaa ndani linampindua mama wa makamo, washkaji kuangalia vizuri wamemwona mama wa yule jamaa ambaye hakuja ndio anatinduliwa, wakaenda kumwita ila hawakumwambia kama ni mama yake ndio video leo, kufika pale kakuta mtu kapinduliwa doggy na kwa zile angle analiwa ndogo, sasa jamaa limemla ndogo Mamtu ye ananyegeka tu hajui kama mama mzazi yule si dogy ?, ile jamaa limpindue missionary Asalaleeeeee, ndio dogo akapiga ukunga "MAAAMAAA". Kuanzia siku hiyo dogo hajawai tena kurudia kupiga chabo, alilipia chabo ya kumwona mamake akitafunwa kiroho mbaya na wakulungwa.
Chai na joto la dar 🤣 sio kabisa
 
Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.

Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui.

Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna mtu alishawahi kupanga miadi ya kukutana na mbebez, halafu akakuta labda ni mwenyekiti wake wa jumuiya 😂, akatoka ndukiiiiiiii.

View attachment 3257897
Kwa sisi wengine wenye watoto wanaomiliki smartphones unaweza kutukanwa na mwanao huku amekaa pembeni yako, tena akikuporomoshea kashfa kwamba eti emekaa sebuleni kwa shemeji yako unasubiri chakula 🤣🤣. Hilo nimekuwa nikiliwaza miaka mingi sana.
 
Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.

Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui.

Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna mtu alishawahi kupanga miadi ya kukutana na mbebez, halafu akakuta labda ni mwenyekiti wake wa jumuiya 😂, akatoka ndukiiiiiiii.
mshamba_hachekwi anavyokimbizwa
 
mi nikiwa nasoma comment ya mtu ambaye ameweka avatar ya celebrity nnaye mjua huwa nasoma kichwani kwa sauti ya yule celebrity kama simjui nasoma kutokana na avatar ilivyo kama ya mtu anayeonekana mpole nasoma kipole,mtu wa vituko hivyo hivyo na kama hajaweka avatar ya mtu nasoma kwa sauti yangu.
Mimi wa kiatu unatafasiri vipi mkuu 😂
 
Sijakutwa na kitu mdogo ake ila siyo kwamba haiwezekani kukutwa na kitu.
Acha tubaki tumefunga hizi PM tu 🤣
Hakuna ulazima sana wa kuogopa kuiacha wazi PM. Sidhani kama wote wana nia mbaya kukufuata PM, lakini hata kama wana nia isiyoendana na matakwa yako hulazimishwi kukubaliana nayo.
 
Mkuu kwa Jiji pa dar lilivyo Hilo linawekana ... Mimi nilikuwa nakutania mkuu
Usinielewe vibaya
Mkuu tena jamaa alikuwa na goli la chipsi kafariki mwaka jana huyu bwana mkubwa, Dar ina mambo kuna wahuni kinondoni shamba walimwita mshikaji wake kupiga chabo kuna mtu anapigwa pipe wasijue anaepigwa pipe ni dada wa jamaa, ile kujipindua tu wanaonekana sister wa mshikaji walijisikia noma kweli. Dar hadi wazee wanakula chabo Dar mji wa kishenz sana
 
Back
Top Bottom