Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
- Thread starter
- #61
Yani kuna story niliandika ya dada aliyeacha kazi ofisini kwetu kuja kunihudumia kipindi nina ujauzito, nilivyokuona mara ya kwanza nilifikiri, mmh huyu asije kuwa yule Mamu wangu jamani 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ukute mimi na wewe tunafahamiana vizuri tu 😀ila sasa ndo hivo