Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Mipaka gani? na nimefanyaje?Umeanza kuvuka mipaka sasa
Ni kweli watumiaji siyo wengi hivyo na kati yao active members ni wachache zaidi.Jua tu kati ya watu 100 utakao kutana nao 10 tu ndio wapo Jf .
Mimi mwenyewe nipo hapa kwa sababu jana palikua bora ila ingekua nimeingia hapa jf leo nisinge kuwepo.
Na hiyo ndiyo hutuweka salama humuBinafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui.
Leo nimewaza, kweli kutojuana kunatupa nguvu humu JF.
Binafsi, nina uhakika wapo watu tunafahamiana kwenye maisha ya kawaida ila ID zimetuficha. Hata huko kwenye replies watu wanavyotiana spana, inawezakana unabishana na boss wako na hujui.
Wale wa kujidai huko PM, ndiyo basi tena. Hivi hakuna mtu alishawahi kupanga miadi ya kukutana na mbebez, halafu akakuta labda ni mwenyekiti wake wa jumuiya 😂, akatoka ndukiiiiiiii.
View attachment 3257897
Kabisa, inatupa uhuru wa kuwa wazi bila kuogopa sana.Na hiyo ndiyo hutuweka salama humu
mr pipa kwema kakaPekee yangu na samihaa tunafahamika