ID zenu nyingine tunazijua

What I can offer ni mibao tu.
Na rough....... Haya na uhakika nayo 100
 
Haha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.

Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.

Nikascreenshot msg nikamtumia The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia don’t be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.

Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . πŸ˜…
 
ok.
 
Kuna siku nilimkuta anamwmabia Binti wa zamani sijui ampeleke wapi ana kama mil 200 hivi hazina kazi nikamsanua chapchap ndio akamshtukiaga, kuna mtu naye nilimsanua nusu aliwe saiz eti kanigeuza adui ila jfπŸ™ŒπŸΎπŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Nimecheka mpaka nimekaa chini, huyo mtu mwenye milioni 200 sasa πŸ˜†
JF kuna ujinga mwingi sana!
 
Jamani ila binadamu bana! Pole sana ilishanikuta na mimi mara mbili au tatu kwenye kuagiza vitu vya biashara na cm ya kutumia mpaka kesho sifanyi hiyo biashara!
 

Sasa waambie waheshimiwa majaji kwamba na mimi aliniingiza king, kidogo nivurugane na wife najua nna rescue mwamba kumbe naingia mkenge.(Ila wanawake mmepewa namna ya kutambua hatari na michongo feki) niliambiwa kabisa mbona huyu mtu kama mission town? Ntasikia sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…