Mbona ulitapeliwa kizembe sanaHaha hapana huyu ni tapeli wala sio wa JF he used to be a friend, alikuwa nje akanitext kuwa amefata mzigo wa simu, na nilikuwa nataka simu nikamtumia hela 3.4M akapotea nayo mazima. Nikamdai kama wiki hivi akasema amepata shida migration sijui nini nini nikatemana nae.
Umepita kama mwaka akanitext kuwa anataka tuonane anilipe hela yangu tufungue ukurasa mpya blah blah. Nikamjibu hii namba uliyonitext nayo tuma hiyo hela hamna haja ya mimi na wewe kuonana.
Nikascreenshot msg nikamtumia The Monk, Huyu ni legend anaelewa mambo yalivyo akaniambia don’t be delusional, mtu mwenye nia ya kulipa asingetuma hiyo msg, nikakaa nikasubiri weeeee mwezi karibu wa 4 huu hajanitafuta tena.
Sasa nimesoma hiyo comment ya mshana kuwa tapeli alimtext kumshukuru na kutaka kulipa fadhila halafu akapotea nikakumbuka situation yangu . 😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,Wacha nifike home kwanza nikacheke vizuri.Mimi kilichoniuma ni kuamini yule mpuuzi ni mchungaji na nikashare naye mambo yangu na tukafanya maombi lisaa nikaanza kulia🤣🤣🤣
Unachagua sana jamani, hutaki ku sertle for less🤣🤣Nani alitaka kumtapeli
Ila kinachosaidia napenda muonekano aisee
Ule muonekano , No thank u 😄🏃♀️
Haikua kosa lako, na wewe ulikua muhanga. Saa hizi nataka ku upgrade kidogo, kwenda Old Monk😂😂😂 Kwa jinsi nilivyokuingiza kwenye matatizo kwa kweli ningelipwa ningekununua hata Hennessy 💔
Naye ni kondoo? Kidogo aliwe😂
Dah! Nimelia sana 😆Mimi kilichoniuma ni kuamini yule mpuuzi ni mchungaji na nikashare naye mambo yangu na tukafanya maombi lisaa nikaanza kulia🤣🤣🤣
Do u remember babgal???
Now u knw😄😄😄
Humu ni hatari,msaada unatoa inategemea mtu na mtu😁Sirudii tena kujifanya mtoa misaada aisee😂😂
Kama chokoraa🤣😂 😂 😂 Nimecheka mpaka nimekaa chini, huyo mtu mwenye milioni 200 sasa 😆
JF kuna ujinga mwingi sana!
🤣🤣🤣🏃♀️kila 1 ana flavour zakeUnachagua sana jamani, hutaki ku sertle for less🤣🤣
Huyu shem wangu secretarybird siku hizi anajiita pawa.id zote 10 unakuta ziko active at the same time
Mimi nipo ndani nacheka kama mwehu na mafua yangu😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,Wacha nifike home kwanza nikacheke vizuri.
Kuna mtu alinibishiaKama chokoraa🤣
Uliipenda eeh? Shots mbili nakuhakikishia kuongea kidhungu😂Haikua kosa lako, na wewe ulikua muhanga. Saa hizi nataka ku upgrade kidogo, kwenda Old Monk
Aaah! Sasa sie ndio jamaa amekuja kutuanika hapa anaharibu interview 😆 😂Sitaki kuamini😂