ID zenu nyingine tunazijua

Anatubembeleza kwa machozi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ndio jamii ya specie za humu, ila kujipa umuhimu sasa kujifanya wanamjua mtu๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Hivi nguvu ya kumtumia mtu hela online hua mnazipatia wapi watanganyika wenzangu.

Mi nikitoa nipate na chotaka hapohapo. Huna iyo bidhaa mtasubiri waliyonayo walete ninue kitu nachoona.
Yaani ni rafiki yangu wa alimost 4 years. Alishanipa dada mmoja nikamsaidia kumuandikia project yake ya masuala ya wanawake (initiatives) Nikalipwa hela kadhaa.

My bad nilimwamini sana.
 
Kama unaijua ruksa kabisa kuitaja, hata kama iko ambayo una hisi au kuna namna unawaza inawezakua ID yangu, ntafurahi ikiwekwa hapa wazi, itakua umeokoa wengine kutapeliwa.
๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ๐Ÿ™Œ๐Ÿฟ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ