Basi unani weka level gani katika mahusiano baina yetu? Au out of ten mm niko wapi? Naomba nisiongee sana maana unaelewa what I meanJF ni kauli mbiu yangu tu, hadi tufike PM hapa jukwaani tushajuana sana. Hamna wa kunitapeli JF labda mtu aombe msaada wa uongo nikiguswa na uongo natoa hela mara nyingi ni hela ndogo ndogo tu hazina madhara.
Hiyo issue niliyohadithia huko juu haihusiani na JF.
Hii nchi ngumu sanaunakuta unazinguana na ID Moja gafla zinakujia ID 5 kukushambulia unajiuliza hawa watu vipi kumbe ni mtu mmoja banaπ
Ngumu vibaya sanaHii nchi ngumu sana
Kuna ule mwaka nikakopeshwa kwa nguvu 2M kwa riba ya laki 6 kea mwezi. . na nililipa!
Hivi mnajua kupatwa kwa mganga nyie maumivu yake kweli!?ππΏπ kisa pussy mbofumbofu mganga akapigwa na kitu kizito sanaπ€£ππΏππΏππΏππΏ
Nimekunywa ka wine leo, nisamehe kama nimechanganya mafaili..Nipo kiroho safi kabisa na wala sina baya iwe ni kwa utapeli au dhumuni lolote lile na ikasemekana nna ID zaidi ya hii The Monk, kwa manufaa ya umma na reputation yangu, kweli unaweza kuiweka tu, nimeridhia.
Niliona mwandiko unafanana nikafikiri ni ile ID ya mmiliki wa JF ππHauwezijua huenda ukanisaidia, ukute kuna mtu huko anatumia vibaya ID yangu mwenyewe najiachia jukwaani, kumbe watu wanakuchora tu.
Basi tu ni kwavile hatuwezi kuandika kitu hapa..! Ila nikimkumbuka yule co-partiner kwenye biashara ya barπππΏββππΏ JF salute πͺπΏπ€£
Aaah! Nimekuvulia kofia π π πNimekunywa ka wine leo, nisamehe kama nimechanganya mafaili..
Niliona mwandiko unafanana nikafikiri ni ile ID ya mmiliki wa JF ππ
Ila leo nitaangusha moja moja..Ndio maana nakwambia ni kwa vile tunaheshimu taratibu za hapa, siwezi kuleta mambo ya PM au uraiani hapa kushtakia au kumwanika mtu.
Ila watu wanaumia sana kimya kimya.
Hapa JF "any action at your own risk."
True story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahauππππΏ kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10Kβ
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuruπππ Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! ππΏ
haya ndio mambo sasa
hahahah ! na leo weekend saafi kabisahaya ndio mambo sasa
hahahahahaTrue story kuhusu multiple IDs
Kuna mwana hapa jukwaani siwezi kumsahauππππΏ kama anasoma hii post anipe ishara ya 5 tu inatosha..
Huyu jamaa alikuwa na ID kama 10 hivi..! Mimi sikuwahi kujua kabisa
Sasa sijui alijuaje kama kipindi hicho nilikuwa na chenchi kidogo, basi kila week ilikuwa kuna ID ngeni 2 zinaniomba assist PM ya 5 to 10Kβ
Mimi bila hiyana wala kinyongo nikawa narusha maana nayajua maisha ya mwanaume kuishiwa
Basi baada ya mwaka nikapata simu ngeni jamaa akanisalimia kwa furaha sana na kunishukuru sana.. Kisha akatuma msg kaka hii
Mshana kuna kipindi nilikuwa nimepigika mno.. Nilikula sana tano tano na kumi kumi zako kupitia ID mbalimbali
Sasa hivi niko Mwanza nataka nikutumie chochote kukushukuruπππ Je hii number inapokea miamala? Nikamwambia ndio..! Akasema nimpe dakika 5.. !!!
Mpaka Leo nasubiri huo muamala..! Yaani tapeli ni tapeli tuu..! ππΏ
Kama alikufa jeπNimecheka kinoma! π
Kuna mwanetu aliomba msaada hapa ishu ya usikivu miaka imepita kidogo, basi na mimi nikaguswa na suala lake, nikamfuata PM, lengo lilikuwa ni kumwezesha aje mjini, akutane na specialist, ambaye pia ni mshikaji wangu na apate hearing aids. Nilipompa hilo wazo, hakulikataa ila akadai yupo bize anamuuguza mke wake, hivyo angekuja baadae, lakini hili la kuja halikuwahi tokea. Akanambia kuhusu situation yake kimaisha, ikabidi niwe nampiga kiume. Sasa akaja badae kuniambia amepata chance aje mjini, na kwamba familia yake anaipeleka Mwanza, hivyo atahitaji nauli, yake na familia yake n.k. Basi nikampa fedha ambayo niliona itamfaa kusafirisha familia, na yeye kuja mjini. π
Huo ndio ukawa mwisho wa mimi kuwasiliana nae. Hakupatikana hewani kwa namba zote, na ID yake hajawahi jibu sms mpaka hii leo. π
Na kweli tatizo la usikivu alikuwa nalo. Huwa nabaki tuu kucheka nikikumbuka hiki kisa.
Nimecheka kinoma! π

yeah ,imependeza sanahahahah ! na leo weekend saafi kabisa