πππππSana parefu ndio maana The monk ananitania nilivyoahidiwa kulipwa nikaanza kupiga hesabu za kununua brazilian π
Yupo fiti kote kote ππSio bangi huyo kubishana naye kwa hoja mpaka ujipange! Na ukimkuta anaandika ujinga inabidi uwe mpoleπ¬
Mi sikuchangaπππAlipokosea ni pale alipokazania michango halafu muda mwingi hayupo hospital.. Nakumbuka Dada ulichanga piaππΏπ
Kwa jinsi unavyo scan comments majukwaa mbalimbali utakuwa umenasa wote πWaraka wangu kwa wote wenye ID rundoπ€£
Wanachama wazoefu wa JamiiForums huwa wanagundua au kuhisi mtu anatumia akaunti tofauti kwa kuangalia viashiria vifuatavyo:Ketamine
I hope umeshapata muongozo sio wa JF babes πMimi naomba nimjue huyu mnayemzungumzia jamani
Kwa asili ni tapeli mimi tu sikuwa najua, alinipangia mpango wa muda mrefu, Au labda hakupanga kunitapeli ila once tapeli always tapeli. Ukikosa wa kuwa tapeli unatapeli watu wako wa karibu.Duh
Nini Sasa kimemsibu hadi amekuwa tapeliπ₯Ή
Kumbukumbu za JF hazipoteiπ
Mchokozi wewe ππππDahππππna kale karangi kake
Itakuwa alikuwa mwekundu kweliπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
NdiyoI hope umeshapata muongozo sio wa JF babes π
Mtu anamtapeli mdada mzuri na mpole hivi.Mchokozi wewe ππππ
πππππKwa asili ni tapeli mimi tu sikuwa najua, alinipangia mpango wa muda mrefu, Au labda hakupanga kunitapeli ila once tapeli always tapeli. Ukikosa wa kuwa tapeli unatapeli watu wako wa karibu.
Utapeli na ujanja upo upo sana nakumbuka Maxence mwenyewe alishawahi kutapeliwa na Member wa humu mwaka 2011 , akahamaki na kutukana na akalambwa BAN π€£π€£π€£Ndiyo
Nimesoma kwa makini.
πππMtu anamtapeli mdada mzuri na mpole hivi.
Ila watu wa Singida mmejua kutuangushaπ€£π
Enheeee ππππUtapeli na ujanja upo upo sana nakumbuka Maxence mwenyewe alishawahi kutapeliwa na Member wa humu mwaka 2011 , akahamika na kutukana na alalambwa BAN π€£π€£π€£