Labda anakutaka๐Yaani nakuta notifications kibao kumbe dislike zake....mambupu yake ๐ฅด
Hahahaahah ngoja nimuignoreLabda anakutaka๐
Hizi pua zilipitishiwa nini๐
Kwani anajali? Yeye akiswitch tu anaendelea alipoishia๐Hahahaahah ngoja nimuignore
Id zake nishazijua huyu sio mzimaKwani anajali? Yeye akiswitch tu anaendelea alipoishia๐
View attachment 3668644Hizi pua zilipitishiwa nini๐
Em nami unidokeze nishatukana ila ndio chura kiziwi๐โบ๏ธId zake nishazijua huyu sio mzima
Naomba mimi hiyo kazi ya pedicure na manicure๐ ๐ ๐ haha! nilimpiga marufu kabisa kwenda kwa wamasai kuosha miguu sijui kucha
Ila ID za JF..๐๐ฟโ
Enzi za mada maalum ya nagari ikafikia mahali tukawa na group la WhatsApp la magari
Sasa yule mwana mmoja alikuwa active Sana JF na kwenye group.. Akasema yeye ni dereva wa IT na coaster za kukodi
Basi muda mwingi akawa ni mtu wa kupost matukio ya safari za usiku.. Hasa kupeleka misiba ama IT
Yani 24/7 yuko barabarani.. Sasa ikabidi watu waanze kuhoji anapumzika saa ngapi? Na anawezaje kupost JF na kwenye group wakati anaendesha?
Kidogo akapunguza ila akaja sasa kutupiga kipigo kitakatifu.. Akatutangazia msiba msiba wa mwanae pekee wa kike aliyekuwa Mombasa na mama wa jambo
Akatupiga fix mtoto kauliwa na huyo mama! Tukatumiwa na picha ya mtoto akiwa hai ..ILA
Picha za msiba hakuna
Picha za jeneza bilabila
Picha za kaburi bilabila๐๐ฟ๐๐ฟโโ๐
Kumbukeni hapo kwenye group tumeshamchangia sana na JF pia๐คฃ
Alikuwa na watu wake wa kumtetea sana! Mmoja (mdada) alikuja kuomba radhi baadae baada ya jamaa kukaribishwa kwake akapewa pombe kidogo ndio vituko halisi vikajidhihiri๐
Baada ya ishu ya msiba feki wa mtoto kubumbuluka jamaa aliingia mitini na group likawa bye! Bye..!๐
๐ ๐ ๐Naomba mimi hiyo kazi ya pedicure na manicure
JF kupitia hizi ID bandia imepitia mengi sana๐Kuna mtu muhuni Huku huwa natamani kumlipua ila namsitiri, nilimsaidia pesa zangu aise, tapeli Mkubwa, ngoja nimsitiri, nimejua mpaka ID yake ya kweli na Jina halisi na anakaa wapi, njaa mbaya sana, naomba niendelee kuwa na uvumilivu.
Ni vyema wanaume kusitiriana!
Muweke ignore list huyo achana nayeEm nami unidokeze nishatukana ila ndio chura kiziwi๐โบ๏ธ