Kekundu kekundu π€£π€£π€£Ila ID za JF....βππΏβ
Kwenye ishu za meditation.. Wakati huo tunaandika sana.. Kuna huyo mwana ana madini balaa kwenye ishu za meditation ππΏ
Basi mambo yalipopamba moto..! Wahitaji wa meditation na mambo ya kiroho wakawa wengi
Mwana akaiona fursa akatengeneza group la kwanza.. Kiingilio 20 000.. Group likajaa.. Akatengeneza la pili..π mambo yalikuwa faya sana
Sasa akaanza michezo ya town.. Anaweka bonge la mada lenye part nyingi.. Akifika panaponoga anadai hawezi kuendelea bundle limekata.. Watu idadi isiyojulikana wanatuma tano tano na kumi kumi za bundle..,π€£
Nadhani mnaijua JF fika.. Watu wakaanza kuhoji mengi... Akaanza kuwaleftisha wote wanaohoji.. Mambo yaliishia hapoππΏπ€£
Ni nani, simjui..naomba nimjueKwamba Babu Elly hamjui mzee wa Assist?
Sidhani π
Wenye mandinga yenyuπIla ID za JF..ππΏβ
Enzi za mada maalum ya nagari ikafikia mahali tukawa na group la WhatsApp la magari
Sasa yule mwana mmoja alikuwa active Sana JF na kwenye group.. Akasema yeye ni dereva wa IT na coaster za kukodi
Basi muda mwingi akawa ni mtu wa kupost matukio ya safari za usiku.. Hasa kupeleka misiba ama IT
Yani 24/7 yuko barabarani.. Sasa ikabidi watu waanze kuhoji anapumzika saa ngapi? Na anawezaje kupost JF na kwenye group wakati anaendesha?
Kidogo akapunguza ila akaja sasa kutupiga kipigo kitakatifu.. Akatutangazia msiba msiba wa mwanae pekee wa kike aliyekuwa Mombasa na mama wa jambo
Akatupiga fix mtoto kauliwa na huyo mama! Tukatumiwa na picha ya mtoto akiwa hai ..ILA
Picha za msiba hakuna
Picha za jeneza bilabila
Picha za kaburi bilabilaππΏππΏββπ
Kumbukeni hapo kwenye group tumeshamchangia sana na JF piaπ€£
Alikuwa na watu wake wa kumtetea sana! Mmoja (mdada) alikuja kuomba radhi baadae baada ya jamaa kukaribishwa kwake akapewa pombe kidogo ndio vituko halisi vikajidhihiriπ
Baada ya ishu ya msiba feki wa mtoto kubumbuluka jamaa aliingia mitini na group likawa bye! Bye..!π
Ya kulia wachuchu wa JF.Ya kuazima π
Tobaaah.
Mambo ya Mbaga JrA few moments laterView attachment 3668733
Kiti kinafaidi.Kuna watu watakionea wivu kitiπππΏ
Eeeh eeh hatari tupu.
Hii naikumbuka πππ nilidhani ni kweli ujueKuna yule tulidanganywa ni tajiri sana kafia nje ya nchi
Tukatuma R.I.P baadae user yake ikaonekana inatumika π€£π€£
Zilizokuingilia zote Haja Kubwani Kwako?salimia zile id zako nyingine