Wewe babydol naomba nikujue tafadhali kwa maana hiyo sio ID yako mamaMpaka sasa hivi hamna betri zilizochomolewa. Miaka ya nyuma hapo palikuwana dadaz hizo๐๐๐zikiingia kwenye nyuzi kama hizi ni damu tu zinamwagika.
Siku hizi jf haina troublemakers kabisa, wamebaki wakina de Gunner ๐๐๐๐๐
Sasa ni ID yako hii?๐Wewe babydol naomba nikujue tafadhali kwa maana hiyo sio ID yako mama
Ni nani huyo?Kila nikiona id ya baby doll nakumbuka mwaka jana mtu alihuzunika PM kwamba hamuoni jukwaani kapotezana nae anammiss sana.
Wajanja sana hawa viumbe, wanajua kucheza na nyakati..Kila nikiona id ya baby doll nakumbuka mwaka jana mtu alihuzunika PM kwamba hamuoni jukwaani kapotezana nae anammiss sana.
Kesho nakuja na majibu kamiliHata usipoteze muda wako
Siwezi kumtaja, natumaini alivyokuona umerudi ashakutafuta.Ni nani huyo?
Haya๐Kesho nakuja na majibu kamili
Akasema nini tena? Nimpate vizuri.Siwezi kumtaja, natumaini alivyokuona umerudi ashakutafuta.
Siwezi kuongeza zaidi! Kwa jinsi alivyoongea kwa hisia naamini ulivyorudi alikuwahi kuja kukusalimia.Akasema nini tena? Nimpate vizuri.
Ukute unanidanganya. Sio vizuri ๐Siwezi kuongeza zaidi! Kwa jinsi alivyoongea kwa hisia naamini ulivyorudi alikuwahi kuja kukusalimia.
Basi tu umekuja na moto na sikuwa kuona ID hiiAcha ujinga .
Niambie ni kipi kinafanya uhisi nina ID nyingine?๐คทโโ๏ธ