Idadi kubwa ya members wa JF inaonesha wanapishana sana na moja kati ya hizi KKK.3

Halafu kuna neno 'kupaswa' na 'kupashwa'.
Kiswahili kinapokuwa kigumu kwa waswahili kuliko lugha za kigeni!
 
Halafu kuna neno 'kupaswa' na 'kupashwa'.
Kiswahili kinapokuwa kigumu kwa waswahili kuliko lugha za kigeni!

"Kupaswa ni kutakiwa uwajibike na jukumu fulani...mfano wanafunzi wanapaswa kusoma ili wafaulu mitihani yao. Au akina baba na akina mama wanapaswa kuwatunza watoto wao.

Kupashwa: kuna maana mbili:

1. kusutwa, au kupewa vipande vyako na watu wengine hususan wa rika lako au wenzako.


2. Ni kupewa joto..mfano chakula kinapashwa moto nk," courtesy to Choveki

Kuna mkanganyiko mwingine kwenye matumizi ya "mazingara" na "mazingira", matokeo ya soka kuwa "suluhu" au "sare".

Unakukuta mwandishi wa michezo anaandika kuwa Simba na Yanga wametoka "sare" ya bila kufungana badala ya "suluhu".

Choveki ameandika kuwa "mazingara ni kama mazingaombwe ya kishirikina...uchawi uchawi nk" wakati "mazingira" ni "mandhari inayokuzunguka."

MAZINGARA Vs MAZINGIRA, SARE Vs SURUHU na PASWA vs PASHWA!!!
 

Licha ya kuwa kupashwa sasa ina juulikana zaidi kwa maana hasi ya kusutwa lakini asli yake haipo hivyo.

Kupashwa ina maana ya kupewa habari, taarifa, ....

Mfano

Tumepashwa [habari] kwamba kumetokea ajali

Tumetaarifiwa kwamba kumetokea ajali

Tumepewa habari kwamba kumetokea ajali

Kwa hiyo msijedhani kwamba kila mnapopashwa mnasutwa
 

aksantu mdau
 
Kwa kuanzia tuanze na wewe hapo kwenye RED.

umeonaee anajifanya anajua kumbe kaungua jua JF kibokoyaoo JF ni kibokoyoo mambulula kama wewewe mi nilizani nilimwandishi la habari kumbe likulima toka sangamwalugesha
 
mkuu hapo kwenye r na l na mimi nipo, hebu nisaidie nifanye nini kutatua hili tatizo. niludi tena kwa Juma na Roza nikajifunze upya au nifanyeje
 
umeonaee anajifanya anajua kumbe kaungua jua JF kibokoyaoo JF ni kibokoyoo mambulula kama wewewe mi nilizani nilimwandishi la habari kumbe likulima toka sangamwalugesha


wewe pia umekosea!! ulipaswa kuandika "nilidhani" badala ya "nilizani"

kimsingi mtoa mada yupo sahihi kabisa kwamba watu wengi hua tunafanya makosa ktk matumizi ya lugha hii adim na adhim ya kiswahili!,hivyo,hukupaswa kumshambulia na kumtolea maneno makali kama haya!!
 

Hatuwezi kuwa "tu "Great Thinker"". Unless we are some Borg-like entity.

If you live in a glasshouse, don't throw stones.

Halafu si wote tunajivunia vilemba vya ukoka vya kujivika wenyewe. Kwenye swala la "Great Thinkers" Kiranga mtoe.
 
umeonaee anajifanya anajua kumbe kaungua jua JF kibokoyaoo JF ni kibokoyoo mambulula kama wewewe mi nilizani nilimwandishi la habari kumbe likulima toka sangamwalugesha


:mvutaji::mvutaji:unayo haki ya kujibu vivyo maana ndivyo ubongo wako ulivyojituma kufikiri na katiba ya nchi inaruhusu
 
Hebu angalia niliyowekea rangi nyekundu. Kazi tunayo kwelikweli.
 
Hii kitu inayoitwa 'uhesabuji' imenifanya niamini kuwa tuna tatizo kubwa mno.
Hata mleta mada kachapia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…