Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Je,Acha kuchanganyikiwa. Hakuna mtu mwenye haki ya kupotosha facts. Mtu kakupa takwimu rasmi za kitaifa, wewe unaiziita maoni na mitazamo yake?!
wewe binafsi,
unayo mawazo mapya na fikra mbadala au umejawa mihemko na makasiriko pekee gentleman?š