gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 410
Nafanya wide research napenda kufahamu wahitimu wa vyuo vikuu wanafikia wangapi kwa mwaka? Tanzania wangapi kwa east africa naomba mwenye majibu bado nakusanya data wadau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nafanya
wide research napenda kufahamu wahitimu wa vyuo vikuu wanafikia wangapi kwa mwaka? Tanzania wangapi kwa
east africa naomba mwenye majibu bado nakusanya data wadau
nashukuru ndugu ila nipo mbali sana na dar specific tafiti haihusiani ni somo hapo juu ila kuna kipengele ni muhim niwe na hizo data hata 2012/13Ndugu km upo serious na
utafiti wako na unataka kupata taarifa sahihi kuhusiana na utafiti wako
ninakushauri uende mamlaka husika km vike nacte na tcu.